Duni Haji amefutiwa uanachama wa CUF Zanzibar

Duni Haji amefutiwa uanachama wa CUF Zanzibar

Tanzania Rais Wetu Ni Lowassa
Bila Kujari Anaumwa Nini? Kura Tutampa Yaani Kwa Kifupi Sana Ni Kuwa Zanzibar Tutampa Maalim Seif Bila Kujari Lolote.

Ukikutana Na Ccm Inagombana Na Nyoka Porini
Msaidie Nyoka Ili Kuiuwa Ccm Maana Mbele Ya Safari Najua Nyoka Atakusaidia Siyo Ccm.

Ni heri kukaa na gunia mia za mav* kuliko kukaa na fisiem!
 
katika hali ambayo maalim self hamad ameona umaarufu wa babu haji duni unakuwa mkubwa na anaweza kuwa rais wa zanzibar 2020, maalim akampangia njama za kummaliza kisiasa na kumshauri ajiunge na chadema ili apewe nafasi ya kuwa mgombea mwenza. Baada ya kujiunga chadema duni haji amefutiwa uanachama wa cuf zanzibar na ameanza kunyong'onyeshwa ili kupotea kwenye ramani ya kisiasa na kutokuwa mwiba tena upande wa zanzibar na siasa za cuf.

Kinachoendelea ndani ya muungano hewa wa ukawa kwa sasa baada ya duni kuona kuwa hawawezi kushinda analazimisha kurudishwa ndani ya cuf na maalim self hamad amekataa na kumwonya kuwa alijiondoa mwenyewe.mvutano huo umesababa kudorola kampeni ndani ya ukawa hasa kwa upande wa wa makamu wa rais.hali inayosababisha watu kuona usanii huu ni kwa ajili ya maslahi ya watu wachache.

#watanzaniatujitathimini
,tusikosee.


alikuambia nape au kinana ???? Au pengo ????
 
Hata kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa hakuna kitu kitakachoishi milele muda wa chama cha chukua chako mepema (ccm) kufariki umewadia hata mkifanya nini hamuwezi kushindana na sauti ya wengi sauti ya mungu, alikufa mtume MUHAMAD, alikufa YESU sembuse chama cha wezi ccm.
 
Yaani kuna 4U wamewagwa umu ndani wapo kazini na wanalipwa...tuwe makini nao sana
 
wenye akili wamekuelewa ila wapumbavu na malofa watakupinga na kukuona hujui ila mwisho wa siku watayaona haya unyo yanzungumza ni kweli

Ww ndo zimwi ambalo hujamwelewa huyu kilaza mwenzio. Manake mnatengeneza story kila kukicha zinakua story mfu. Polen ccm.
 
Kwani inawezekana kuwa mwanachama wa vyama viwili at a time
 
Katika hali ambayo Maalim Self Hamad ameona umaarufu wa Babu Haji Duni unakuwa mkubwa na anaweza kuwa rais wa Zanzibar 2020, Maalim akampangia njama za kummaliza kisiasa na kumshauri ajiunge na CHADEMA ili apewe nafasi ya kuwa mgombea mwenza. Baada ya kujiunga CHADEMA Duni haji amefutiwa uanachama wa CUF Zanzibar na ameanza kunyong'onyeshwa ili kupotea kwenye ramani ya kisiasa na kutokuwa mwiba tena upande wa Zanzibar na siasa za CUF.

Kinachoendelea ndani ya muungano hewa wa UKAWA kwa sasa baada ya Duni kuona kuwa hawawezi kushinda analazimisha kurudishwa ndani ya CUF na Maalim Self Hamad amekataa na kumwonya kuwa alijiondoa mwenyewe.mvutano huo umesababa kudorola kampeni ndani ya UKAWA hasa kwa upande wa wa makamu wa rais.Hali inayosababisha watu kuona usanii huu ni kwa ajili ya maslahi ya watu wachache.

#watanzaniatujitathimini
,tusikosee.

Kachukue buku saba lumumba
 
Teh teh teh he hicho ndo kilichobaki.. hayumbishwi MTU kwa propaganda za kijinga kama za maccccccccm... LOWASSA rais...huo ndo ukweli na anasubiri kuapishwa tu.
 
Ma CCM Mmebanwa kila angle.
Iko hivi.

Hata Lowassa aache kupiga Kampeni ajifungie kwake bado tutamchagua
Lowassa akijitoa na akawekwa Kuku kuchuana na Magufuli bado tutamchagua Kuku
Leo hii Lowassa akijitokeza kumpigia Kampeni Magufuli bado tutamchagua yeye
Babu Duni akiamua kupumzika Zanzibar na kuacha kupiga Kampeni bado tutamchagua Lowassa na hatimaye,automatic Babu Duni atakuwa Makamu wa Raisi.

Mabadilikoooooooooooooooooo......Lowassaaaaaaaaaaa,Lowassaaaaaaaaaaa.... Mabadiliko.

Peoplessssssssssssssssssssssssssssssss

Kuna watakuja kujibu Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ila kura za kuku hazitatosha kwenda ikulu si unajua mpaka zitoshe?
 
Haya maccm yanatamani ukawa ivunjike hayajui hata umoja wa ukawa ukivunjika bado Lowasa atakuwa rais
 
Back
Top Bottom