Katika hali ambayo Maalim Self Hamad ameona umaarufu wa Babu Haji Duni unakuwa mkubwa na anaweza kuwa rais wa Zanzibar 2020, Maalim akampangia njama za kummaliza kisiasa na kumshauri ajiunge na CHADEMA ili apewe nafasi ya kuwa mgombea mwenza.
Baada ya kujiunga CHADEMA Duni haji amefutiwa uanachama wa CUF Zanzibar na ameanza kunyong'onyeshwa ili kupotea kwenye ramani ya kisiasa na kutokuwa mwiba tena upande wa Zanzibar na siasa za CUF.
Kinachoendelea ndani ya muungano hewa wa UKAWA kwa sasa baada ya Duni kuona kuwa hawawezi kushinda analazimisha kurudishwa ndani ya CUF na Maalim Self Hamad amekataa na kumwonya kuwa alijiondoa mwenyewe.
Mvutano huo umesababa kudorola kampeni ndani ya UKAWA hasa kwa upande wa wa makamu wa rais.Hali inayosababisha watu kuona usanii huu ni kwa ajili ya maslahi ya watu wachache.
#watanzaniatujitathimini ,tusikosee.