Dunga dunga

Dunga dunga

Hapo ndipo utajua chungu na mbichi. Unalijua busha vizuri? ushawahi kuliona la kilo 50 kama Kiribati cha unga?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]www mbuzi wako yuko tayali af embu soma story af nipe feedback
 
Dejane usikubali aje inbox kirahisi mpaka atumalizie gii strory[emoji3]anaweza akatiacha kwenye mataa

mwanangu Half american huyu dogo anazimalizia story inbox anatuacha kwenye mataa[emoji1787] wapare wana shida sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulewediii
 
Back
Top Bottom