Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,221
- 2,801
Hujaelewa kitu...Kama unategemea uokolewe na UVCCM safari yako ni ndefu sana na hautafika kamwe
Hujaelewa kitu...Kama unategemea uokolewe na UVCCM safari yako ni ndefu sana na hautafika kamwe
Na bado.Kwa style tunayoenda nayo Magufuli lazma akumbukwe bila kupenda.
1. Tozo
2. Bei ya vitu kupaa
3. Serikali haina kauli 1 tena.
4. Wakazi wa Dodoma
5. Wenyeji wa Chato
Yaani mwanaume mwanaume tu. Wengi tulimchukia sana Magufuli lakini hata kama hatokumbukwa lakini kimoyo moyo lazma umkumbuke.
Ile hali ya JK imesharudi rasmi ndani ya utawala.
- Toka serikali iliposema inafatilia mambo ya tozo hakuna mrejesho mpaka leo.
- Toka tume ya kuchunguza kuungua kwa soko la Kariakoo hatujapata mrejesho wa tume hiyo na siku za nyongeza 7 walizopewa sasa tupo zaidi ya 21 hakuna wa kuuliza watu wako bize kusafiri tu.
Kweli sikumpenda JPM ila namkumbuka tu sio kama napenda ila nalazimika kumkumbuka.
:Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya wanyongwe;
: Tozo iendelee;
Haki nyie watu mmenichekesha mnoHilo dumu nasema liuzwe hata laki mbili watu akili zao zikae sawa.
Bila hivyo watu wataendelea kuchagua na kushabikia ujinga.
Nadhan wangetilia mkazo kwenye hili swala lakn wapo bize kukandamiza upinzani POLISI NAO MABWEGE SANA HADI NGUO ZINATOBOKA MATAKONI KWASABABU YA KUPAMBANA NA UPINZANI akiwauliza tatizo nn hata was hawajui sababu
CCM wanunulien POLISI sare mpya
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Shida sio mashine shida ni malighafi. Wekezeni kwenye kilimo cha malighafi yanayozalisha bidhaa ya mafuta.Mi nimejinunulia Machine ya kukamulia mafuta nyumban Saba Saba nikimekimbia vitu hivyo hivyo. Bei ya mafuta unakuta ipo juu halfu mafuta yenyewe hayana ubora yanasababisha Magonjwa.
Sasa hivi najikamulia mfuta ninayoyataka mwenyewe
Ukiwa na kadi ya CCM dumu 55000/=
Nadhan CCM hawaumii n hii Bei bila Shaka
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sio kwelihivi unauhakika wengi walimchukia JPM? wakati akifanya ziara mikoani ilikuwa ukiangalia, au mikutano yake. msiba wake uliona watu pamoja na viongozi waliomzika. TZ hakuna rais aliependwa kama JPM
Ngoja nianze kuishi kwa Mbinu maana hakuna namna. Kwa sisi wa mikoani unanunua mbegu za alizeti gunia moja kwa elfu 45 unakamua kwa elfu 10 grahama zingine elfu 5 kisha unapata lita 22 unakuwa ume save kati ya elfu 40 au 50. Mjini mbinu.Shida sio mashine shida ni malighafi. Wekezeni kwenye kilimo cha malighafi yanayozalisha bidhaa ya mafuta.
Wapi huko gunia la ALIZETI linauzwa elfu 45?Ngoja nianze kuishi kwa Mbinu maana hakuna namna. Kwa sisi wa mikoani unanunua mbegu za alizeti gunia moja kwa elfu 45 unakamua kwa elfu 10 grahama zingine elfu 5 kisha unapata lita 22 unakuwa ume save kati ya elfu 40 au 50. Mjini mbinu.
Ruvuma, njombe, na baadhi ya sehemu MbeyaWapi huko gunia la ALIZETI linauzwa elfu 45?
hivi unauhakika wengi walimchukia JPM? wakati akifanya ziara mikoani ilikuwa ukiangalia, au mikutano yake. msiba wake uliona watu pamoja na viongozi waliomzika. TZ hakuna rais aliependwa kama JPM
Basi matajiri wa Iringa waende wakachukue mzigo maana huku Iringa gunia ni elfu 80-90.Ruvuma, njombe, na baadhi ya sehemu Mbeya
Nauli ya kufuata Hilo gunia inazidi Bei ya gunia!Ruvuma, njombe, na baadhi ya sehemu Mbeya