Dumu la lita 20 mafuta ya kupikia sasa ni Tshs 90,000, bado yanaenda juu

Kwa style tunayoenda nayo Magufuli lazma akumbukwe bila kupenda.

1. Tozo
2. Bei ya vitu kupaa
3. Serikali haina kauli 1 tena.
4. Wakazi wa Dodoma
5. Wenyeji wa Chato

Yaani mwanaume mwanaume tu. Wengi tulimchukia sana Magufuli lakini hata kama hatokumbukwa lakini kimoyo moyo lazma umkumbuke.
Ile hali ya JK imesharudi rasmi ndani ya utawala.
  • Toka serikali iliposema inafatilia mambo ya tozo hakuna mrejesho mpaka leo.
  • Toka tume ya kuchunguza kuungua kwa soko la Kariakoo hatujapata mrejesho wa tume hiyo na siku za nyongeza 7 walizopewa sasa tupo zaidi ya 21 hakuna wa kuuliza watu wako bize kusafiri tu.

Kweli sikumpenda JPM ila namkumbuka tu sio kama napenda ila nalazimika kumkumbuka.
Mafuta yalishapanda toka mwaka Jana na yataendelea kupanda Sana.

Mwaka huu wakulima waalizeti tunanunua Magari
 
Mlisema wapinzani wanawachelewesha kupata maendeleo haya sasa ndo maendeleo ya kweli. " Kazi iendelee"
 
Mi nimejinunulia Machine ya kukamulia mafuta nyumban Saba Saba nikimekimbia vitu hivyo hivyo. Bei ya mafuta unakuta ipo juu halfu mafuta yenyewe hayana ubora yanasababisha Magonjwa.

Sasa hivi najikamulia mfuta ninayoyataka mwenyewe
Hyo machine ulinunua sh ngap mkuu?
 
Subiri kidogo, tunapandisha uchumi kutoka ule wa kati ngazi ya chini kwenda kati ngazi ya juu......hii katiba mpya isitucheleweshe.
 
Kwa style tunayoenda nayo Magufuli lazma akumbukwe bila kupenda.

1. Tozo
2. Bei ya vitu kupaa
3. Serikali haina kauli 1 tena.
4. Wakazi wa Dodoma
5. Wenyeji wa Chato

Yaani mwanaume mwanaume tu. Wengi tulimchukia sana Magufuli lakini hata kama hatokumbukwa lakini kimoyo moyo lazma umkumbuke.
Ile hali ya JK imesharudi rasmi ndani ya utawala.
  • Toka serikali iliposema inafatilia mambo ya tozo hakuna mrejesho mpaka leo.
  • Toka tume ya kuchunguza kuungua kwa soko la Kariakoo hatujapata mrejesho wa tume hiyo na siku za nyongeza 7 walizopewa sasa tupo zaidi ya 21 hakuna wa kuuliza watu wako bize kusafiri tu.

Kweli sikumpenda JPM ila namkumbuka tu sio kama napenda ila nalazimika kumkumbuka.
Unamsifia JPM wa nini? Matatizo hata ta maguta kupanda si yalianza wakati wake na kuvuruga bei za sukari nk. Bora hata Mama sababu anasafisha uvundo uliokuwepo kwanza.
 
Nadhan wangetilia mkazo kwenye hili swala lakn wapo bize kukandamiza upinzani POLISI NAO MABWEGE SANA HADI NGUO ZINATOBOKA MATAKONI KWASABABU YA KUPAMBANA NA UPINZANI akiwauliza tatizo nn hata was hawajui sababu

CCM wanunulien POLISI sare mpya

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sa mkuu unafikiri hao polisi wote wanapenda kufanya hvy muda mwingine tunawaonea tu wao wanafata Amri hawawez kupinga wanachoambiwa polis wa Tz wanafanya sana kaz ila ndo hvy tunawalaumu bure wakat wao wanafata order kutoka juu kuwa kama mtu mzima mwenye uelewa sio unawalaumu tu..
 
Samahanini lakini. Miongoni mwa vitu ambavyo huwa haviniumizi kichwa vikipanda bei Tanzania ni Mafuta ya kupikia pamoja na sukari.

Mafuta ya kupikia hasa hayo yanayotoka nje, yakiadimika ni faida kwa afya za Watanzania.
 
Lipa Kodi kwa maendeleo ya nchi yako,pesa inayopatikana kupitia shughuli hizo za bishara baadae utaona maji, umeme,nk

Tuwe wazalendo ndugu zangu.
Sio maji na umeme tu... N ma VX V8-R ya wakurugenzi na Makati u wakuu yanavyopishana pale morogoro
 
Kwa style tunayoenda nayo Magufuli lazma akumbukwe bila kupenda.

1. Tozo
2. Bei ya vitu kupaa
3. Serikali haina kauli 1 tena.
4. Wakazi wa Dodoma
5. Wenyeji wa Chato

Yaani mwanaume mwanaume tu. Wengi tulimchukia sana Magufuli lakini hata kama hatokumbukwa lakini kimoyo moyo lazma umkumbuke.
Ile hali ya JK imesharudi rasmi ndani ya utawala.
  • Toka serikali iliposema inafatilia mambo ya tozo hakuna mrejesho mpaka leo.
  • Toka tume ya kuchunguza kuungua kwa soko la Kariakoo hatujapata mrejesho wa tume hiyo na siku za nyongeza 7 walizopewa sasa tupo zaidi ya 21 hakuna wa kuuliza watu wako bize kusafiri tu.

Kweli sikumpenda JPM ila namkumbuka tu sio kama napenda ila nalazimika kumkumbuka.
Mungu kasikia dua zetu wakulima wa Alizeti🤣
 
Tuangalia namna ya kupika bila kutumia mafuta ya kupikia.

KUTOKA MAKAO MAKUU YA UWABATA
Nakumbuka tukiwa watoto wazazi wetu walikuwa wanatengeneza mafuta ya kupikia kwa kutumia Samli. Pia walibanika samaki na kuchukua mafuta yake. Inabidi turudi kwenye uasili Kama kutupika kwa Samli n.k
 
Back
Top Bottom