Dume Suruali: Mwana FA aleta msiba mkubwa kwa kina dada wa mjini

Hahahaaaaa!! Huu wimbo nilikuwa sijausikia.
Kusema kweli nimependa chorus tu.

Mwana FA hana adabu kweli!!
 
Hiyo mistari me hoi mwana FA we nyokostingish kabisa...

Ila mwenye audio atume hapa please...
 
Mm sio mshirika wa ubongo fleva ila huyu jamaa aliyeimba wimbo huu amenikosha ametutetea wanaume tulio na uchungu wa maisha... usipohonga mwanaume suruali poa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom