Dume Suruali: Mwana FA aleta msiba mkubwa kwa kina dada wa mjini

Ahsante sana binamu(Mwana FA) kwa kuwapa ukweli watoto wa kike kwenye hii ngoma mpya ya Dume Suruali!!Ebu tupia punch line uliyoipenda kwenye hili jisongi!!punch line yangu hii:
"nihonge nanunua nini? kwanini yani kuna kipi nsichokijua ina tv ndani?"
 

Attachments

  • Mwana FA FtVANESSA MDEEDUME SURUALI.mp3
    5.1 MB · Views: 32
Huyu jamaa ni kipaji aisee, hii nyimbo ya dume surual katutetea wagum kuhonga balaa, kanifurahsha sana mistar yake na nymbo za huyu bwana huwa zinatoa status sana kwenye social network, me whatsap zang zote mbil nshaiba status kwenye hii ngoma aisee, itafte ucklze me imengomea kuiweka hapa
 
"Hakuna kipya chini ya jua
Hata nisiyoyafanya nishayasikia"

Haaaaaa itakuwa mtandao pendwa tu huo umeusikia.....
Afu wee jamaa akili zako. Anamaanisha hajafanya siasa lkn ameshaziskia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom