Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 7,990
- 13,645
Jamaa analewa sana plus ugoroJana nilikuwa naangalia shoo ikabidi nilale tu jamaa ana makelele sana halafu anaongea pumba pumba tu
Show imepoteza mvuto kabisa sepenga ana kelele mno na hana mpangilio mzuri wa mantikHii show tangia aondoke Sam misago show imepoa sana hakuna mpangilio
Hahahahaaaa kumbe ndo mana yaani hatulii kabisa ni kuhangaika halafu wanatuletea akina spackJamaa analewa sana plus ugoro
Misago katimkia wapi mkuu??Hii show tangia aondoke Sam misago show imepoa sana hakuna mpangilio