Duka linauzwa

Gtt

Senior Member
Apr 22, 2017
128
123
Duka liko mbagala kibonde maji mbele kidogo ya zakhem, ni sehemu nzuri kwa biashara hususani mahitaji ya nyumbani ila naliuza kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu..friji na frizer vyote vinapiga kazi vizuri kabsa.
Kodi ni 50000 kwa mwezi, kodi inaisha mwezi ujao.
Mimi nauza vyote vilivyomo kwa bei ya 1300000 tu. Karibu pm kwa anayehitaji.
NB: Nauza vyote kwa pamoja siuzi kimoja kimoja.
IMG_20190617_161313.jpeg

IMG_20190617_153238.jpeg
IMG_20190617_153336.jpeg
IMG_20190617_153321.jpeg
IMG_20190617_153330.jpeg
IMG_20190617_153251.jpeg
IMG_20190617_153245.jpeg
IMG_20190617_153255.jpeg
IMG_20190617_153416.jpeg
 
Hivi ukitoa hizo Friji unazan nikija na laki 4 ninunue kila kilichomo humo, itapungua, itatosha au itazidi hiyo laki 4??
Itapungua sana maana kuna zaidi ya kilo mia za mchele ngano na unga hizo ambayo haitoshi kununua hata vitu hivyo pekee
 
Jamani ni bora kuwa kimya kuliko kudharau biadhara ya mwenzio wakati wewe unaishi kwa shemeji yako,au hauna hata biashara ya laki 1.
Mali ninayoiona hapo ni zaidi ya 1.3ml
Asanteni.
Thanks.
 
Back
Top Bottom