Mapenzi katika biashara

kingkongtz

JF-Expert Member
Dec 28, 2019
1,027
3,465
Msaada kwenye tuta.

Huu ni mwezi wa 8 tangu nifungue duka la bidhaa ndogo ndogo za nyumbani,mwezi huu nimeamua kupanua kidogo duka limekuwa la jumla na reja reja,

Duka lilianza vizuri sana ,kila nilichokuwa naleta hakikuchukua muda mrefu kilinununuliwa,bidhaa nyingi zilinunuliwa kwa wakati pia wateja walizidi kuwa wengi

Kama mjuavyo kwenye biashara changamoto hazikosekani ,kila penye faida hasara iko pembeni inakungoja,unapocheka leo kesho unaweza kununa hata kulia pia.

Miezi mitano ya mwanzon hakika biashara niliifurahia na ilienda poa kabsa hakukuwa na wasiwas wowote labda changamoto ndogondogo .

(CHANGAMOTO)

Wake za watu pamoja na wadada wamekuwa wakinifatilia sana kutaka tuwe na mahusiano ya kimapenzi, lakini nilijitajidi kuepuka vishawishi (niliamini shida yao ni kutafuna mali yangu tu na kupotea),sikuwapa muda nao walizidisha mitego

Baada ya kuona sieleweki wateja wengi hususani wa jinsia ya kike wamehama sasahivi hawakanyagi kwangu,unga,mchele,sukari na mahtaji mengne wanaenda kununua mbali kidogo ambapo haikuwa kawaida.

Siku zinavyozidi kwenda mauzo pia yanazidi kupungua,wateja naowapata ni wa kiume tu na labda wazee .tofaut na zaman.

(CHANGAMOTO NYINGNE)
Baada ya kuona hali sio nzur niliwaza nibadili location au nimlete wife akae dukan,jibu la pili likawa na nguvu.

Wife hakubishi alikubali nikamuelekeza vzr biashara inavyoenda (sikumwambia inshu iliyopo),Wife alikaa dukani mi nikaanza harakati nyingne za kutoa mzigo mkoa A kupeleka mkoa B (hii naifanya hadi sasa na faida ni nzuri tu.

Sasa tangu wife aingie mauzo yamefutika kabsa anaweza kuingia asubuhi na kutoka usiku akiwa na 40k wakati zamani nilikuw nauza hadi 200k kwa siku.

Sasahivi kwa kuwa nina muda sionekani wananipigia simu kuniuliza nilipo nawapiga chenga tu

Huwa nawaza ,wanaambiana au huwa wanakaa vikao na kuamua maana karibia wateja wangu wote upande wa jinsia ya kike siku hizi hawaonekan kabsa.
au nilikosea walipokuwa wanajitongozesha nawambia nina familia.

USHAURI WENU MUHIMU
1.NIfunge biashara?
2.Nihame location?
3.Nikomae watazoea na watakuja wengi kama mwanzoni au?

Siko vizuri kiuandishi ila ntajitahidi kuweka sawa penye kuhijatika maelezo .
 
Nafanya biashara km yako,Hilo swala mi niliona,Cha msingi ulitakiwa kuwa kuwa Kati Kati maana akili zao wanazijua wao tu,pili ongeza ubunifu kwenye biashara kwa kuweka vitu ambavyo vinawavutia watu/au watoto wa kike anaweza akawa hanunui Ila,mtu anaweza akaja tu kuona Leo umeleta nin kipya akaulizia tu anaondoka vitu km vya urembo,au biskuits za Aina tofauti,alafuu mteja akikuhamaa usipende kumfatilia kuwa kwanin uji,we piga kimya msalimie tu ukikutana nae boresha huduma atakuja,nimejifunza kumfatilia mteja akirudi anaweza kuwa bom ndugu atakusumbua km alikuwa hakopi takukopa mpk
 
shukran sana kwa ushauri ndugu
 
wateja wanatabia ya kumzoea mwanzilishi ila ukijichanganya tu km mtoa mada wew ulivobadilisha ukaeka yf nawateja hubadrk. km vipi hama location. ukiweka yf hakikisha hubadirishi.
 
Wanawake siku hizi nao wanatongoza mkuu labda cha kufanya wewe ungeishi nao fair tu bila kuonyesha dharau wala chuki, ungechat nao, utani kidogo unawabebisha kama wako vile ila ukiwa kwenye biashara unakuwa kauzu kama wewe ni mwanaume nadhani umenielewa yaani wakubalie mambo yao ila usitimize azma zao hapo mtakuwa marafiki na watakuheshimu kiufupi ishi nao kwa akili
 
Msaada kwenye tuta.

Huu ni mwezi wa 8 tangu nifungue duka la bidhaa ndogo ndogo za nyumbani,mwezi huu nimeamua kupanua kidogo duka limekuwa la jumla na reja reja,

Duka lilianza vizuri sana ,kila nilichokuwa naleta hakikuchukua muda mrefu kilinununuliwa,bidhaa nyingi zilinunuliwa kwa wakati pia wateja walizidi kuwa wengi

Kama mjuavyo kwenye biashara changamoto hazikosekani ,kila penye faida hasara iko pembeni inakungoja,unapocheka leo kesho unaweza kununa hata kulia pia.

Miezi mitano ya mwanzon hakika biashara niliifurahia na ilienda poa kabsa hakukuwa na wasiwas wowote labda changamoto ndogondogo .

(CHANGAMOTO)

Wake za watu pamoja na wadada wamekuwa wakinifatilia sana kutaka tuwe na mahusiano ya kimapenzi, lakini nilijitajidi kuepuka vishawishi (niliamini shida yao ni kutafuna mali yangu tu na kupotea),sikuwapa muda nao walizidisha mitego

Baada ya kuona sieleweki wateja wengi hususani wa jinsia ya kike wamehama sasahivi hawakanyagi kwangu,unga,mchele,sukari na mahtaji mengne wanaenda kununua mbali kidogo ambapo haikuwa kawaida.

Siku zinavyozidi kwenda mauzo pia yanazidi kupungua,wateja naowapata ni wa kiume tu na labda wazee .tofaut na zaman.

(CHANGAMOTO NYINGNE)
Baada ya kuona hali sio nzur niliwaza nibadili location au nimlete wife akae dukan,jibu la pili likawa na nguvu.

Wife hakubishi alikubali nikamuelekeza vzr biashara inavyoenda (sikumwambia inshu iliyopo),Wife alikaa dukani mi nikaanza harakati nyingne za kutoa mzigo mkoa A kupeleka mkoa B (hii naifanya hadi sasa na faida ni nzuri tu.

Sasa tangu wife aingie mauzo yamefutika kabsa anaweza kuingia asubuhi na kutoka usiku akiwa na 40k wakati zamani nilikuw nauza hadi 200k kwa siku.

Sasahivi kwa kuwa nina muda sionekani wananipigia simu kuniuliza nilipo nawapiga chenga tu

Huwa nawaza ,wanaambiana au huwa wanakaa vikao na kuamua maana karibia wateja wangu wote upande wa jinsia ya kike siku hizi hawaonekan kabsa.
au nilikosea walipokuwa wanajitongozesha nawambia nina familia.

USHAURI WENU MUHIMU
1.NIfunge biashara?
2.Nihame location?
3.Nikomae watazoea na watakuja wengi kama mwanzoni au?

Siko vizuri kiuandishi ila ntajitahidi kuweka sawa penye kuhijatika maelezo .
Tafuta kijana ataye jifanya kama anaukaribu nao lakini ni kwa faida ii ile hela irudi mahala pake ila muonye asijaribu kuchovya kweliii
 
Back
Top Bottom