Duka la vipodozi

Duka la vipodozi

Joined
Jul 26, 2012
Posts
16
Reaction score
4
Natafuta Binti anayekaa maeneo ya Magomeni, Mwembechai, Kagera, manzese au Magomeni Usalama kwa ajili ya kuniuzia duka la vipodozi. Awe mwaminifu, mchangamfu, mchapa kazi, atakuwa anafungua duka saa mbili asubuhi hadi saa mbili usiku.

Kwa mawasiliano zaidi ni 0782444310 au email ni fihavangoa@yahoo.com naomba kwenye hiyo number hiyo ya simu atume sms coz now nipo job.Thanks.This is Baba T.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom