Nahitaji mfanyakazi wa kuuza duka la vipodozi

joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,623
5,037
Habari wanabodi?

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ni kwamba nahitaji mfanyakazi wa Kike wa Kuuza duka la vipodozi na urembo.

SIFA ZA MFANYAKAZI

1) Awe na Elimu ya Form IV.

2) Awe ni mrembo haswa na Msafi wa kila kitu.

3) Awe ni mchangamfu.

4) Awe ni mwaminifu.

MSHAHARA

Mshahara ni Tshs 80,000/= na nitakuhudumia na chakula tu.

Tshs 120,000/= kwa huu mshahara itabidi ajitegemee chakula.

Duka lipo Ubungo Riverside.

Karibuni wenye uhitaji wa kazi.

NB: AKINISHAWISHI VIZURI KATIKA UTENDAJI KAZI BASI NA MSHAHARA WAKE UTAONGEZEKA.
 
Mkuu Ushauri tu Kama ni duka la vipodozi vya kike ingefaa zaidi ungemuheka wa kiume uneuza mara mbili ya mauzo atayeuza uyo mtoto wa kike ...Tafakali zaidi ...vice versa is true
 
Unahitaji urembo kiwango cha wema alafu mshahara elfu 80, mpumbavu sana wewe
Urembo mapambo, miwigi , miwing, make up, pamba za ukweli, hiyo ela ya kununua vitu hivyo, mi mpokez silipwi hivyo, si mrembo ila mi dude hiyo nikiweka kama kajala masanja.
 
Unatafuta mtu wa kuuza duka au vipodozi? Kazi ya kuuza hilo duka ungewapa madalali mkuu.
 
IIa jamaa amekuja na hoja nzuri sana. Kwa sababu jinsia tofauti huvutana. its vice versa is true.
Sure nimeona sehem nyingi sana ....kwenye nguo za kike hapo sawa ila vipodoz vya wanawake wanaume wanajua sifia ,kumuaminisha mwanamke na kumpa confidence kuhusu urembo ....mtazamo wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom