Natafuta duka la simu zanzibar linalo uza simu bei nafuu nikipata namba za muuzaji itakuwa vizur ila hata ukinipa direction mimi ni mgeni hukuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba kuwa makini huko.Natafuta duka la simu zanzibar linalo uza simu bei nafuu nikipata namba za muuzaji itakuwa vizur ila hata ukinipa direction mimi ni mgeni hukuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda maeneo ya darajani ulizia kwa Muzammil au Summa!Natafuta duka la simu zanzibar linalo uza simu bei nafuu nikipata namba za muuzaji itakuwa vizur ila hata ukinipa direction mimi ni mgeni hukuu
Sent using Jamii Forums mobile app