duh!!

Change_it

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
279
83
tanzanite_xtal.jpg duh!! sijui ntatoka lini na haya mawe ya tanzanite.​
 


Kwa kweli ardhi yetu ina dhamani sana....
hupati hii sehemu yeyote duniani ...
 


Na hii avatar yako...
sijui ni nini ila
imekaa au niseme inaonekana
kama GREEN STONE ambayo na
yenyewe inapatika nchi moja tu duniani ...
 
hiyo tsavorite nayo ni gemstone bei yake ni kali zaidi ya tanzanite
 
Wajibu wetu vijana kujipanga kuikombo nchi yetu toka mikononi mwaharamia kama ntakua cjakosea
 
hapo inabidi serekali itufikirie b'se kuendesha mradi wa namna hii si mchezo.
 
ama kweli tuna mali nyingi sana isiyotunufaisha kabisa,tutanufaika lini na rasilimali yote na ya thaman tulizinazo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom