Duh! Wanaume kwa kupenda sifa!

Duh! Wanaume kwa kupenda sifa!

tatizo ni nini bibie, na wewe unataka upewe rungu?

hataki rungu wala mti ngozi wenu,kipochi manyoya chake kinamtosha!kinachomkera ni hizo ego zenu kumbe tembele!
ahahahhahahhahahhahahha leo ndyo leo mukye mukuye huku
 
Sikubaliani na weye katika kile ulichokisema kwa missingi ifuatayo..
1)EGO ni mtazamo wa kimaisha(mindsetup) ambao mtu anataka watu wawe nao kuhusu yeye au yeye awe nao kuhusu watu watu na mara nyingi huongozwa na self pride na envy na kupenda sifa uadui wa chini chini dhidi ya yeyote hasa kwa mnyonge kwa bahati mbaya sana mwanamke katika dunia hii ndio mwenye EGO strong kuliko kiumbe chochote duniani(NIKO TAYARI KUENDELEZA MJADALA WA HILI KAMA UKITAKA).
2)Mwaname ni kiumbe anayeishi kwa kwa msingi mimuu miwili moja ikiwa ni masculinity na wa pili ikiwa ni thinking kwa hili wanawake hamkujaliwa kupewa(NIKO TAYARI KUENDELEZA MJADALA WA HILI PIA KAMA UKITAKA)
3)Kinachoitwa mfumo dume ni infiriority complexity ya kike ambayo wanawake either kwa kutokujua au kwa kujiendekeza wanautukuza na hawako tayari kujikomboa katika hilo na wala hawako tayari kuona mwenzao anaondokana nalo(NIKO TAYARI KUENDELEZA MJADALA WA HILI HILI KAMA UKITAKA)
4)Women in their daily affairs tend to be RELATIVE tofauti na wanaume ambao in their daily life tend to be ABSOLUTE na cha ajabu kuwa RELATIVE kwa saikolojia ya wanaume ni UDHAIFU(NIKO TAYARI KUENDELEZA MJADALA WA HILI PIA KAMA UKITAKA) .
Kimsingi kiumbe ambacho hakipendi kukosolewa ni MWANAMKE hasa hadharani na hii inatokana na very STRONG EGO na kwa bahati mbaya ni EGO OF A WOMAN AGAINST A WOMAN
 
nakubaliana na wewe kuhusu kufukuzia mabinti, lakini wengine hata hazisimami au huishia kumaliza haraka hivyo ili kuficha udhaifu wao huishia kuhonga hela nyingi kutunyamazisha tusitoe siri zenu nje.

Unadhani hawa wanaotangaza kuuza dawa feki za nguvu za kiume wanazuka hivi hivi, wanajua soko lipo kwa sababu wanaume wengi ni dhaifu,

Ukikutana nao kelele nyiiingi, kwenye game tembele!

kha!!! wee dada kweli unajua mambo. kwanza umegundua kuwa sie ni wazee wa ego....na now umejua kabisa kuwa mapenzi ni kugegedana na kama kidume mlepweto kitandani basi his ego is severely bruised. asante sana. elemisha wanawake wengine bana wawe kama wewe
 
Naamini wewe ushawahi kungalia Movies za kipelelezi au kijasusi..
Hivi ushaona mwanaume kubwa la maadui akipindua kwa kachero mwanamke?

Huyo Samson na miguvu yake alishia wapi,
Delilah alimaliza mchezo just like eating piece of delicious cake
Matatizo yako uantazama sana movies, FYI sio wanaume wote wako kama kina Samson :biggrin1:
 
Bibie usiihusishe biblia kwenye uelewa wako mdogo.
Mwanaume aliumbwa na akapewa majukumu ya kutawala baharini, nchi kavu na vyote viujazavyo ulimwengu, ndiye aliyetoa majina kwa kila kilicho hai mwituni, nyikani, baharini na hata jina HAWA lilitoka kwa mwanamke.
Tumepewa kumiliki na aliyetupa hilo ndiye yule MUUMBA vyote.
Sasa udhaifu wa wapenzi wako au mume wako usiifanye kuwa linganifu na ndio ukatengeneza nadharia mgando.
 
Sasa umejua hilo, mpe atakacho. Msifie, mfanye ajisikie kiongozi na anaetumainiw. Hata Yesu tu akiwa duniani alikuwa anawauliza wanafunzi wake 'watu wanasema mimi ni nani?' na nyie mnasema mimi ni nani. What do you think that was? Hata Mungu anasema mimi ni Mungu mwenye wivu, usiwe na miungu mingine ila mimi.
Kazi yako ni kumwaga misifa tuuu. Baby that, honey this, sweetheart those. Hata kama unamkosoa unaanza na sifa, 'mpenzi, nashukuru sana unavyotuangalia mimi na watoto na kuhakikish tuko vizuri saa zote. Kitu kimoja tu kinanisumbua, najua kiko ndani ya uwezo wako. . . . . '
 
kha!!! wee dada kweli unajua mambo. kwanza umegundua kuwa sie ni wazee wa ego....na now umejua kabisa kuwa mapenzi ni kugegedana na kama kidume mlepweto kitandani basi his ego is severely bruised. asante sana. elemisha wanawake wengine bana wawe kama wewe

we ni jinsia gani?...wanipa wasiwasi
 
Sasa umejua hilo, mpe atakacho. Msifie, mfanye ajisikie kiongozi na anaetumainiw. Hata Yesu tu akiwa duniani alikuwa anawauliza wanafunzi wake 'watu wanasema mimi ni nani?' na nyie mnasema mimi ni nani. What do you think that was? Hata Mungu anasema mimi ni Mungu mwenye wivu, usiwe na miungu mingine ila mimi.
Kazi yako ni kumwaga misifa tuuu. Baby that, honey this, sweetheart those. Hata kama unamkosoa unaanza na sifa, 'mpenzi, nashukuru sana unavyotuangalia mimi na watoto na kuhakikish tuko vizuri saa zote. Kitu kimoja tu kinanisumbua, najua kiko ndani ya uwezo wako. . . . . '

afadhali umekuja dada yangu, ni shida sana kusikiliza mawazo ya watu wasiojielewa, wao kutwa kuona kama wanaonewa sababu ni kwamba hawajui nafasi yao kijinsia....
Tena huyu nahisi atakuwa ni Mpalestina bila shaka...
 
Sikubaliani na weye katika kile ulichokisema kwa missingi ifuatayo..
1)EGO ni mtazamo wa kimaisha(mindsetup) ambao mtu anataka watu wawe nao kuhusu yeye au yeye awe nao kuhusu watu watu na mara nyingi huongozwa na self pride na envy na kupenda sifa uadui wa chini chini dhidi ya yeyote hasa kwa mnyonge kwa bahati mbaya sana mwanamke katika dunia hii ndio mwenye EGO strong kuliko kiumbe chochote duniani(NIKO TAYARI KUENDELEZA MJADALA WA HILI KAMA UKITAKA).
2)Mwaname ni kiumbe anayeishi kwa kwa msingi mimuu miwili moja ikiwa ni masculinity na wa pili ikiwa ni thinking kwa hili wanawake hamkujaliwa kupewa(NIKO TAYARI KUENDELEZA MJADALA WA HILI PIA KAMA UKITAKA)
3)Kinachoitwa mfumo dume ni infiriority complexity ya kike ambayo wanawake either kwa kutokujua au kwa kujiendekeza wanautukuza na hawako tayari kujikomboa katika hilo na wala hawako tayari kuona mwenzao anaondokana nalo(NIKO TAYARI KUENDELEZA MJADALA WA HILI HILI KAMA UKITAKA)
4)Women in their daily affairs tend to be RELATIVE tofauti na wanaume ambao in their daily life tend to be ABSOLUTE na cha ajabu kuwa RELATIVE kwa saikolojia ya wanaume ni UDHAIFU(NIKO TAYARI KUENDELEZA MJADALA WA HILI PIA KAMA UKITAKA) .
Kimsingi kiumbe ambacho hakipendi kukosolewa ni MWANAMKE hasa hadharani na hii inatokana na very STRONG EGO na kwa bahati mbaya ni EGO OF A WOMAN AGAINST A WOMAN

Sijui hata unachozungumza hapa ni kitu gani,
Hebu rudia kusoma nilichoandika hapo juu halafu ndio utoe comments zako.

tatizo la wachangiaje wengi humu hawasomi mada between the line hukimbilia kusoma comments mbili tatu kisha anatengeneza mada yake kichani na kuweka comments zake.

Bado hujajibu hoja kaka.

Jipange!
 
Bibie usiihusishe biblia kwenye uelewa wako mdogo.
Mwanaume aliumbwa na akapewa majukumu ya kutawala baharini, nchi kavu na vyote viujazavyo ulimwengu, ndiye aliyetoa majina kwa kila kilicho hai mwituni, nyikani, baharini na hata jina HAWA lilitoka kwa mwanamke.
Tumepewa kumiliki na aliyetupa hilo ndiye yule MUUMBA vyote.
Sasa udhaifu wa wapenzi wako au mume wako usiifanye kuwa linganifu na ndio ukatengeneza nadharia mgando.

Tukisema tuichambue hii mada ki Biblia itahamishiwa jukwaa la dini, naomba tuishie hapa maana kwa maandiko huniwezi!
 
shikamoo mtani!
 
Sasa umejua hilo, mpe atakacho. Msifie, mfanye ajisikie kiongozi na anaetumainiw. Hata Yesu tu akiwa duniani alikuwa anawauliza wanafunzi wake 'watu wanasema mimi ni nani?' na nyie mnasema mimi ni nani. What do you think that was? Hata Mungu anasema mimi ni Mungu mwenye wivu, usiwe na miungu mingine ila mimi.
Kazi yako ni kumwaga misifa tuuu. Baby that, honey this, sweetheart those. Hata kama unamkosoa unaanza na sifa, 'mpenzi, nashukuru sana unavyotuangalia mimi na watoto na kuhakikish tuko vizuri saa zote. Kitu kimoja tu kinanisumbua, najua kiko ndani ya uwezo wako. . . . . '

Sawa bibie nakbaliana na wewe, na hata mie huw anafanya hivyo kwa mume wangu, nilichozungumza hapa ni kwamba wake wakijua kwamba majaaliwa yao yapo mikononi mwetu!

Tusipowajengea kujiamini watashindwa mengi. na ndio maana tunashauriwa kwamba tuwachukulie kama watoto wetu
 
Sasa umejua hilo, mpe atakacho. Msifie, mfanye ajisikie kiongozi na anaetumainiw. Hata Yesu tu akiwa duniani alikuwa anawauliza wanafunzi wake 'watu wanasema mimi ni nani?' na nyie mnasema mimi ni nani. What do you think that was? Hata Mungu anasema mimi ni Mungu mwenye wivu, usiwe na miungu mingine ila mimi.
Kazi yako ni kumwaga misifa tuuu. Baby that, honey this, sweetheart those. Hata kama unamkosoa unaanza na sifa, 'mpenzi, nashukuru sana unavyotuangalia mimi na watoto na kuhakikish tuko vizuri saa zote. Kitu kimoja tu kinanisumbua, najua kiko ndani ya uwezo wako. . . . . '

ahahhahahhahha chezeya mijisifa kwa baba mwenye nyumba!ndo mana mi nimesema nishamezwa na ego zao!kila kitu hewala bwana!aka!
 
afadhali umekuja dada yangu, ni shida sana kusikiliza mawazo ya watu wasiojielewa, wao kutwa kuona kama wanaonewa sababu ni kwamba hawajui nafasi yao kijinsia....
Tena huyu nahisi atakuwa ni Mpalestina bila shaka...

Muungwana hushindana kwa hoja na si kwa vioja!
Hebu mwaga mapwent hapa usi camouflage kwa excuses
 
Hodi kwenye Jukwaa hili wakuu. Naomba na mimi nichangie kidogo. Hili suala la kujisifu kwa wanaume (ego) limeletwa na Mungu mwenyewe katika Mwanzo 3:16 ambayo inasema kwa sehemu kama ifuatavyo: "...tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala." Kwa hiyo mtawala ndani ya nyumba ni mwanaume tu hata kama ni maskini namna gani, utakuta mwanaume anajitutumua tu!
Kwa hiyo hapa asilaumiwe mwanaume kwa kitu alichopewa na Mungu!
Jambo jingine ni logic tu, kwamba nyumba haiwezi kuwa na viongozi wawili, lazima kuwepo na mwenye maamuzi ya mwisho! Bahati nzuri Mungu alishamteua mtu huyo kama nilivyosema hapo juu!
 
Tukisema tuichambue hii mada ki Biblia itahamishiwa jukwaa la dini, naomba tuishie hapa maana kwa maandiko huniwezi!

Kama ungalikua hutaki kuijadili kibiblia usingenukuu maandiko huko na kutafsiri uongo...
Hebu sikiliza Njia Panda Clouds FM usikie jinsi mlivyo na hila...
 
Hodi kwenye Jukwaa hili wakuu. Naomba na mimi nichangie kidogo. Hili suala la kujisifu kwa wanaume (ego) limeletwa na Mungu mwenyewe katika Mwanzo 3:16 ambayo inasema kwa sehemu kama ifuatavyo: "...tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala." Kwa hiyo mtawala ndani ya nyumba ni mwanaume tu hata kama ni maskini namna gani, utakuta mwanaume anajitutumua tu!
Kwa hiyo hapa asilaumiwe mwanaume kwa kitu alichopewa na Mungu!
Jambo jingine ni logic tu, kwamba nyumba haiwezi kuwa na viongozi wawili, lazima kuwepo na mwenye maamuzi ya mwisho! Bahati nzuri Mungu alishamteua mtu huyo kama nilivyosema hapo juu!

mkuu umenena vyema sana...
 
nakubaliana na wewe kuhusu kufukuzia mabinti, lakini wengine hata hazisimami au huishia kumaliza haraka hivyo ili kuficha udhaifu wao huishia kuhonga hela nyingi kutunyamazisha tusitoe siri zenu nje.

Unadhani hawa wanaotangaza kuuza dawa feki za nguvu za kiume wanazuka hivi hivi, wanajua soko lipo kwa sababu wanaume wengi ni dhaifu,

Ukikutana nao kelele nyiiingi, kwenye game tembele!

Umeua,men pia ni "endangered specie" the world is running out of real men.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Muungwana hushindana kwa hoja na si kwa vioja!
Hebu mwaga mapwent hapa usi camouflage kwa excuses

Ni hivi bi dada, afanyayo mwanaume ambayo wewe umeitafsiri kama "ego" ni hulka ambayo tumeumbwa nayo, na ndio maana hapo awali nimekudokezea kuwa, tulipewa mamlaka ya kutawala na wala sio kutawaliwa, ushawahi jiuliza kwa nini Yesu alikuwa mwanaume na si mwanamke, vivyo hivyo kwa manabii na mitume wengi waliopita...
Sifa huambatana na yule zinayempasa kuwa nazo.
 
Back
Top Bottom