Hapo kaandika kama mbunge au shabiki wa Simba?
Kama kushangaa kauli, angejifunza kushangaa kauli za Mzee wa "fulasituesheni" kwani hazilingani na mkulu bali labda mcheza bongo movieHapo kaandika kama mbunge au shabiki wa Simba?
Nilishajitoa hili Jukwaa naomba nisichangie maoni yanguKama kushangaa kauli, angejifunza kushangaa kauli za Mzee wa "fulasituesheni" kwani hazilingani na mkulu bali labda mcheza bongo movie
Umeeleweka mgosi!Nilishajitoa hili Jukwaa naomba nisichangie maoni yangu
sasa mbona umechangia?Nilishajitoa hili Jukwaa naomba nisichangie maoni yangu
Hapana nimetoa taarifasasa mbona umechangia?
Mimi najikita Jukwaa la Wakubwa na kina Ambiele Kiviele huku ni frustration tuNilishajitoa hili Jukwaa naomba nisichangie maoni yangu
Mkuu hivi huko mnajiungaje?Mimi najikita Jukwaa la Wakubwa na kina Ambiele Kiviele huku ni frustration tu
Tayari ushachangia, mkuu futa tu kauli yako sio dhambiNilishajitoa hili Jukwaa naomba nisichangie maoni yangu
Mtumie inbox Invisible kumuomba akuunge. Atazingatia vigezo ya umri wa membership yakoMkuu hivi huko mnajiungaje?
Tatizo balimiTayari ushachangia, mkuu futa tu kauli yako sio dhambi
Aisee kule nilitolewa baru.. Nilitaka kuleta ulokoleMimi najikita Jukwaa la Wakubwa na kina Ambiele Kiviele huku ni frustration tu
kwaheri nilishaaga
Mkuu tafadhali tengua kauli, kwani kiroho upo huku kimwili wajilazimisha kukimbia, rudi bwanakwaheri nilishaaga
Sitengui na nyuma sigeuki kwaheri.. View attachment 781690Mkuu tafadhali tengua kauli, kwani kiroho upo huku kimwili wajilazimisha kukimbia, rudi bwana
Basi kila LA kheriSitengui na nyuma sigeuki kwaheri.. View attachment 781690View attachment 781691
Basi kila LA kheri
Ila utarudi tu hata kwa ndumba
Wacha nikuchore kwanza ktk ramli