duh vitoto havijatulia

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
hata mwezi bado vishasepa na kuku wa watu!

ya ukweli.jpg
 
hao baadae ukikutana nao chochoro hao unawamia mwenyewe nna laki moja, simu ya tecno,na chupi ya kuchakaa chakaa.vinginevyo ukikawia utakuwa tayari unachuruzika.
 
Ndo hali halisi ya maisha ya mtanzania hasa vijana ambao ni tegemezi kwa Taifa
 
aiseee baba yangu si unajuw amwezi huu lazima watafut ya idi nao lazima wapate nkisusio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom