duh, umeona?

Picha ya Waziri Mkuu sijui wako nyumbani au ofisini? Nashindwa kuelewa wataelewana vipi kwenye mazungumzo yao wakati TV iko on. Nijuavyo mimi TV is very anti social ikiwepo sebuleni wakati watu wanazungumza. Ama wangeizima au wangeenda chumba kisichikuwa na TV.

Picha ya hao watoto mmoja anajaribu kumuokoa mwenzie aliyemo shimoni. Naona na yeye binti huyo anajihatarisha kutumbukia humo shimoni. Mungu bariki siyo refu. Lakini inaelekea linatumika kama shimo la takataka japokuwa inawezekana haikujengwa kwa madhumuni hayo. Na huo uchafu duh!!
 
Mazee unajuaje kwamba hiyo siyo "Situation Room" yetu na yule mtu kwenye TV actually anaongea nao katika Teleconference?

Au vipi kama wanafuatilia tukio fulani kwenye TV ambalo wanalizungumza?

Au huu mkutano ni informal?
 
Let me see if i catch what u're trying to convey,
ofisi ya WazMkuu imesheheni samani za gharama kubwa sana,ukitoka mitaani maisha ya Mtz si kueleweka kabisa,hakuna utawala wa sheria wala nini,watu wanafanya wanachotaka hasa kwa watu tunaowatuhumu kuwa wezi,vibaka n.k kwani hata yule kijana aliyempiga kibao Mwiny alianza kupokea kibano mbele ya Mzee Mwinyi tena kutoka kwa walinzi wa Mwinyi wenyewe.na wananchi wanaishi maisha ya ufukara uliokishiri.either hawa watoto waliona kitu ambacho kiliwapendeza katika lundo la uvundo huu au walikuwa wanatafuta kukimu maisha katika uozo huu.haya yote wakati ambapo katika ofisi ya muheshimiwa mambo ni kula raha tu ambayo hayreflect kwa namana yeyote hali ya kukatisha tamaa ambayo Mtz wa kawaida anaishi........
NAOMBA KUWAKILISHA
 
Back
Top Bottom