Duh,Ugeni wa ghafla

Duh,Ugeni wa ghafla

Una watoto wa ngapi ???
Na umezaa kutoka kwa wanawake wangapi?

Kuna jambo nataka kujifunza.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mimi nina wake 2,mmoja ni mtanzania na mwingine sio mtanzania.Watoto ni wengi maana nimezaa na hawa wake zangu,lakini pia nilizaa na wanawake wengi,nje na ndani ya nchi,mfano nilizaa mtoto wa kike Nigeria.Kukupa hesabu kamili ni ngumu
 
Ni usiku mida ya saa 2 usiku,namsikia mke wangu akimwambia mdada wa kazi fungua geti,akaenda kufungua,gari nyeupe ikaaingia.Sikuwa najua ni kina nani,ghafla naona watoto 2 mmoja wa kike na mmoja wakiume wanashuka kwenye gari,acha nishangae.Hamad,ni watoto wa binti yangu,na mama yao na mumewe wanashuka.Nilishangaa vipi bila taarifa!.

Huyo ni binti yangu ambae nilimzaa na mke wangu wa 2 ambae sio mtanzania,kaja na mumewe ambae ni Mmarekani mwenye asili ya india kama akina kash patel.Huyo mwanangu wa kike ndiye mwenyekiti wa umoja wa watoto wangu.Jambo la kufurahisha ni kwamba anakijua kiswahili.Sijui ni kipi kimemleta ghafla hii,pengine kesho ntajua
Tayari huna faida kwenye familia

Mke wako ndo mkuu wa familia na ana taarifa zote
 
Kwa msio mfahamu huyu ni mtu mzima sana na kajaaliwa watoto wengi..Kaishi maisha ya aina nyingi.
Naenda 65 sasa na nina afya njema namshukuru Mungu sana,na sina ugomvi na mtu yoyote na hata wanawake niliozaa nao ambao sikuwaoa,hao watoto niliwakabidhi kwa wanangu na wao pia wameunganishwa kwenye umoja wa watoto wangu nao wanatoa michango kama kawaida
 
Tatizo la ngulumbili ni kwamba yeye anajua kila kitu kisichohusu,zaidi ya hao kinachowahusu
 
Ni usiku mida ya saa 2 usiku,namsikia mke wangu akimwambia mdada wa kazi fungua geti,akaenda kufungua,gari nyeupe ikaaingia.Sikuwa najua ni kina nani,ghafla naona watoto 2 mmoja wa kike na mmoja wakiume wanashuka kwenye gari,acha nishangae.Hamad,ni watoto wa binti yangu,na mama yao na mumewe wanashuka.Nilishangaa vipi bila taarifa!.

Huyo ni binti yangu ambae nilimzaa na mke wangu wa 2 ambae sio mtanzania,kaja na mumewe ambae ni Mmarekani mwenye asili ya india kama akina kash patel.Huyo mwanangu wa kike ndiye mwenyekiti wa umoja wa watoto wangu.Jambo la kufurahisha ni kwamba anakijua kiswahili.Sijui ni kipi kimemleta ghafla hii,pengine kesho ntajua
Hii hali inastua sana, imewahi kuni kuta, siku house girl wangu alifungua geti akakuta mbwa wawili, mmoja alikufa miaka miwili ilopita, mwingine alikua wangu lakini bado sijamnunua, walikua na watoto watatu wa pake, na mumewe alikua na shingo nene.

Chaajabu hao watoto walikua wanawika kama jogoo, ngoja tuone saa kumi na mbili tutajua, maana yule paka ndo mwenyekiti wa kunguni zangu hapa kitandani.
 
Tayari huna faida kwenye familia

Mke wako ndo mkuu wa familia na ana taarifa zote
Mke gani, mleta mada bado hata hajamaliza kubarehe, atamzalisha nani sasa? Analeta UF huku, nashangaa wewe unatema nyongo kwa utopolo kama huu na unajiita Extra focus. Hii butwaa siwezi eleza hali yake
 
Ni usiku mida ya saa 2 usiku,namsikia mke wangu akimwambia mdada wa kazi fungua geti,akaenda kufungua,gari nyeupe ikaaingia.Sikuwa najua ni kina nani,ghafla naona watoto 2 mmoja wa kike na mmoja wakiume wanashuka kwenye gari,acha nishangae.Hamad,ni watoto wa binti yangu,na mama yao na mumewe wanashuka.Nilishangaa vipi bila taarifa!.

Huyo ni binti yangu ambae nilimzaa na mke wangu wa 2 ambae sio mtanzania,kaja na mumewe ambae ni Mmarekani mwenye asili ya india kama akina kash patel.Huyo mwanangu wa kike ndiye mwenyekiti wa umoja wa watoto wangu.Jambo la kufurahisha ni kwamba anakijua kiswahili.Sijui ni kipi kimemleta ghafla hii,pengine kesho ntajua
Chai
 
Mke gani, mleta mada bado hata hajamaliza kubarehe, atamzalisha nani sasa? Analeta UF huku, nashangaa wewe unatema nyongo kwa utopolo kama huu na unajiita Extra focus. Hii butwaa siwezi eleza hali yake
Hivi mara ya mwisho ulijamba lini,maana uliniambia tumbo limejaa mavi ya nyama za mafungu!
 
Hii imezidi kwenye chai. Hii ni gongo. Inatakiwa huyu mwehu akamatwe ashtakiwe na ahukumiwe kunyongwa. Kuna watu wazima wanakuja kubwata hapa kumble mleta mada anazngua tu.. Hua napita kwa nyuzi zake nikisoma comments za watu wanavotema nyongo nabaki nacheka tu
 
Hivi mara ya mwisho ulijamba lini,maana uliniambia tumbo limejaa mavi ya nyama za mafungu!
Asante kwa kuja kuthibitisha kauli yangu. Mtu alokamilika na akataka jamii imtambue kama MWANAUME, hawezi andika chapisho kama hilo. Hata kama anatumia account fake.

Iko hivi, haijalishi unaezungumza nae anakufaham au hakufaham, kile unachokitoa kimetoka kwenye ubongo wako, tunauhakika ulikifikiria kabla hakijakutoka.

Masomo ya kisaikolojia yanasema "kile anachokisema mtu mara ya kwanza punde baada ya kufurahi, kushtushwa, kukasirishwa, kuogopesha na hisia nyingine kama hizo, basi hiko kitu ndo hua kichwani mwake muda mwingi". So kwa kifupi kilichoujaza ubongo wako ni mambo yanayousika na mwishoni mwa mfumo wako wa chakula (alimentary canal)..

Jifunze ukipanic usiwe unatoa maneno machafu. Sababu kubwa moja inayofanya WANAUME tuwe WANAUME ni utulivu wa kihisia.

Nakutakia barehe njema
 
upofu sio kukosa macho tu
 
Back
Top Bottom