Bia imesingiziwaMkilewa msiwe mnashika simu.
chai ya rangiBaba niko chini ya miguu yako,tuandikie historia yako kabla hujafa
Kwa msio mfahamu huyu ni mtu mzima sana na kajaaliwa watoto wengi..Kaishi maisha ya aina nyingi.
Huyu jamaa ni mpumbavu fulani kiuhalisia hana hata hayo maisha ana fake life tu...Una IDs nyingi. Unakuja ji support mwenyewe
afadhali umenisaidia kumjibu jamaaHii hali inastua sana, imewahi kuni kuta, siku house girl wangu alifungua geti akakuta mbwa wawili, mmoja alikufa miaka miwili ilopita, mwingine alikua wangu lakini bado sijamnunua, walikua na watoto watatu wa pake, na mumewe alikua na shingo nene.
Chaajabu hao watoto walikua wanawika kama jogoo, ngoja tuone saa kumi na mbili tutajua, maana yule paka ndo mwenyekiti wa kunguni zangu hapa kitandani.
Imebidi nimpe a test of his own medicineafadhali umenisaidia kumjibu jamaa