Duh! Tz kazi bado tunayoo

Duh! Tz kazi bado tunayoo

Enrique Gomez

Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
7
Reaction score
0
Mwalimu wa Historia, "Eeeenhee
Wanafunzi, hivi ni nani alimuua Dedan
Kimathi?"

Mwanafunzi wa Kwanza, "Aki sio Mimi!!"

Mwanafunzi wa Pili, "Walahi sihusiki hata
kidogo!!"

Mwanafunzi wa Tatu, "Kwanza mie jana
sikuja Shule!!"

Kutokana na majibu hayo,Mwalimu
akaona ana Darasa la Majuha na ikabidi aende Ofisi ya
Mwalimu Mkuu wa Shule
ili ampatie hiyo taarifa!!

Mwalimu Mkuu kuambiwa hivyo ikabidi
nae aende kwenye hilo Darasa kuwahoji
juu la lile Swali na Majibu yakawa ni yale
yale!!

Mwalimu Mkuu akamuita Mwalimu wake
pembeni na kumuuliza, "Lakini Mwalimu
una uhakika kuwa huyo Muuaji yupo
kwenye Darasa hili kweli!!?
 
Back
Top Bottom