Duh Steve Jobs! Kweli pesa siyo kila kitu

Duh Steve Jobs! Kweli pesa siyo kila kitu

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394
1721769_rps20140921002456_jpeg8de5e9e103ec4d7366dcc6638912b626
 
Alishakufa hapo ni cancer ilikua inamtafuna kwa sababu ya kucheza na rays.
 
utafiti, we nawe, Stevge Jobs, yuko kushoto katika hiyo picha, ameshafariki mwaka 2011. Alikuwa ni Bilionea mwanzilishi wa kampuni ya Apple Inc.
Maradhi yalipomshika, havikumfaa mali wala alivyovichuma!

Dah na akili zote izo kashindwa na cancer tu?
 
Last edited by a moderator:

kifo kingekuwa kinakubali rushwa watu kama hawa wasingekufa lakn Mungu aliliona hilo......
Naikubali kauli yake aliyosema
SKU ZOTE MDA WA SIKU HUWA HAUTOSHI HVYO HAINA HAJA KUANGALIA MAMBO YA WENGNE BALI ANGALIA YA KWAKO
 
Rip Steve Jobs. You fought your own war. Let others fight their own!
 
Back
Top Bottom