Ukiwa na smart phone, download barcode reader na itakusaidia kujua vitu feki.
Nivea original ni Nivea for men
@ MillionHairs na Mrembo by Nature nadhani mtakuwa na mjibu juu ya hili
naangalia tuuu...sina ujanja wa kuchangia ligi hii..nishazoea yangu ya rays..:cool2:
Mie Wa Babycare Ngoja Nipite Kimyakimya Nitarudi Baadaye.
na perfume unatumia 'Cobra' bisha!