Duh, miaka 13 ndani ya JF si haba

Duh, miaka 13 ndani ya JF si haba

Hongera sana Mkuu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Huwa napenda sana hii tarehe, ina kumbukumbu nyingi kwangu za muhimu. 17th March ya kila mwaka.

Nilijiunga hapa 17th March 2008. Long Live JF. Soon nitakua Platnum member

Alamsiki
 
Hongera sana mkuu...
 
Huwa napenda sana hii tarehe, ina kumbukumbu nyingi kwangu za muhimu. 17th March ya kila mwaka.

Nilijiunga hapa 17th March 2008. Long Live JF. Soon nitakua Platnum member

Alamsiki
Hongera sana,utakuwa umekwepa mishale mingi .Maana JF unaweza kupost kitu, akakurupuka mtu from no where akakushushia tusi mpaka unajiuliza huyu mtu katumwa nini....
 
Homgera sama,utakuwa umekwepa mishale mingi .Maana JF unaweza kupost kitu, akakurupuka mtu from no where akakushushia tusi mpaka unajiuliza huyu mtu katumwa nini....
Hahahaha kuna miaka nilikua sikubali kushindwa but as time goes on najikuta nakaa kimya tu!
 
Back
Top Bottom