Duh, miaka 13 ndani ya JF si haba

Duh, miaka 13 ndani ya JF si haba

Mowa au wewe ndio Malaria Sugu? Kidding. Jamaa alisumbua mno Na alikua jeuri balaa, alikua anabishana hadi Na Moderators
Hapana mkuu! Mimi ni mmoja tu kati ya wadau wapole sana humu jukwaani!! Huyo Malaria Sugu sidhani kama naweza kumkaribia hata kwa nusu ya huo ubishi wake.

Mimi huwa siipendi tu CCM! Yaani nikimuona mwanachama wa CCM, naona kama amepotea njia vile!! Ila ni mtazamo wangu tu!
 
Huwa napenda sana hii tarehe, ina kumbukumbu nyingi kwangu za muhimu. 17th March ya kila mwaka.

Nilijiunga hapa 17th March 2008. Long Live JF. Soon nitakua Platnum member

Alamsiki
Hongera sana mkuu, happy JF- joining day bro. Live long in jf
Nami naisubiria ya kwangu😊
 
Hongera sana mkuu tupo pamoja

1615974489519.png
 
Kwa kweli hakuna, ni mapenzi yangu tu kwa miaka hio kutaka kujua hiki Na kile. Nakumbuka niliaza kuchati kwa Yahoo, walikua Na chat rooms nyingi
Mkuu tumetoka mbali, mimi nilikata kauli na kuamua kujiunga 2011. Mwanzo nilikuwa msomaji tu
 
Basi sawa mkuu, muda sana asiehh, naona wewe ulibaki na user name yako hiyo hiyo, mimi nilibadilisha ningekua na ile ya zamani ungenitambua
Hahahaha nikumbushe Mpwa hata kwa inbox, nimepoteza marafiki wengi
 
Back
Top Bottom