Kitu gani bora zaidi kwako ulikipata beneficiary kutoka jamiiforums kama mkongwe kweny forum?Huwa napenda sana hii tarehe, ina kumbukumbu nyingi kwangu za muhimu. 17th March ya kila mwaka.
Nilijiunga hapa 17th March 2008. Long Live JF. Soon nitakua Platnum member
Alamsiki
Vingi sana lakini kikubwa kwangu aiseee nimejenga network kubwa sana kwa kweli. Ukiwa Na network nzuri in rahisi kufanya mambo mengine kwa urahisiKitu gani bora zaidi kwako ulikipata beneficiary kutoka jamii forum kama mkongwe kweny forum?
Hongera sanaHongera Sana,Yani mi mwaka huo nipo kidato cha tatu sikuwa na simu na hata jamii forum nilikuwa siijui.
Na mshapalalyseMitano tena!
Hongera mkuu.Naona pia unapost nyingi Sana.Huwa napenda sana hii tarehe, ina kumbukumbu nyingi kwangu za muhimu. 17th March ya kila mwaka.
Nilijiunga hapa 17th March 2008. Long Live JF. Soon nitakua Platnum member
Alamsiki
Sio nyingi sanaHongera mkuu.Naona pia unapost nyingi Sana.
ShindwaaaaaaaNa mshapalalyse
Sijui zile hamu za wanawake weupe itakuwaje🤪Shindwaaaaaaa
Kumbe naweza kujikuta nagombana na mwanangu humu ndani [emoji1787][emoji1787]Hongera Sana,Yani mi mwaka huo nipo kidato cha tatu sikuwa na simu na hata jamii forum nilikuwa siijui.
Ushawahi kusikia Malaika mweusi, shindwaaaaaSijui zile hamu za wanawake weupe itakuwaje🤪
Dah!!,Mimi kwa jinsi nilivyo mvivu kukomenti naona ni nyingi.Sio nyingi sana
Wewe tutakutafuta popote ulipo,iwe mzima au umekufa lazima tukupate.Na mshapalalyse
Kisa cha kunitafuta?😏Wewe tutakutafuta popote ulipo,iwe mzima au umekufa lazima tukupate.
Siku ukiwa verified nitag tufanye kabesdeini vema ukatuwekea ushuhuda wa faida za kuwa verified au hata hasara zake