Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
Ni vema ukatuwekea ushuhuda wa faida za kuwa verified au hata hasara zakeHuwa napenda sana hii tarehe, ina kumbukumbu nyingi kwangu za muhimu. 17th March ya kila mwaka.
Nilijiunga hapa 17th March 2008. Long Live JF. Soon nitakua Platnum member
Alamsiki
Hongela bwa'mdogoHuwa napenda sana hii tarehe, ina kumbukumbu nyingi kwangu za muhimu. 17th March ya kila mwaka.
Nilijiunga hapa 17th March 2008. Long Live JF. Soon nitakua Platnum member
Alamsiki
Mpwa kwema lakini?ni vema ukatuwekea ushuhuda wa faida za kuwa verified au hata hasara zake
SawaHongela bwa'mdogo
Hongera tupo nyuma yakoHuwa napenda sana hii tarehe, ina kumbukumbu nyingi kwangu za muhimu. 17th March ya kila mwaka.
Nilijiunga hapa 17th March 2008. Long Live JF. Soon nitakua Platnum member
Alamsiki
Kwa kweli hakuna, ni mapenzi yangu tu kwa miaka hio kutaka kujua hiki Na kile. Nakumbuka niliaza kuchati kwa Yahoo, walikua Na chat rooms nyingiHongera sana man. Nani aliku-introduce JF?
Hahahaha asante sana MpwaHappy birthday mzee baba๐๐๐
Hongera sana
Nalog off
Elli we ni wa muda mrefu we ni mkongwe , ila hebu achana na ndoto za kuutaka Platnum member na uzee wote huo [emoji38][emoji38]Huwa napenda sana hii tarehe, ina kumbukumbu nyingi kwangu za muhimu. 17th March ya kila mwaka.
Nilijiunga hapa 17th March 2008. Long Live JF. Soon nitakua Platnum member
Alamsiki
Hahahaha nataka nilipie JF Mpwa, Platinum ni laki moja tuElli we ni wa muda mrefu we ni mkongwe , ila hebu achana na ndoto za kuutaka Platnum member na uzee wote huo [emoji38][emoji38]