Duh make up hoyee

Duh make up hoyee

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,322
Reaction score
1,988
Wanawake Mungu anawaona
thesporahshow_20210423_8.jpg
thesporahshow_20210423_9.jpg
thesporahshow_20210423_4.jpg
thesporahshow_20210423_5.jpg
thesporahshow_20210423_6.jpg
thesporahshow_20210423_7.jpg
thesporahshow_20210423_1.jpg
thesporahshow_20210423_2.jpg
thesporahshow_20210423_3.jpg
 
Yaaan huwa najishangaaga sio mpenzi wa mwanamke ane jirokokoroa iwe live(mek up) au a edit picha(filter). Na ubaya nikiangalia tuu mara moja nafaham hi sio picha halisi au huyu kapakaa hayo mataka taka.
 
Picha ya nne ni kama mdau .mmoja hivi tena mpiga kinanda wa chama fulani cha siasa
 
Huyo WA mwisho aliungua akiwa mtoto kama miaka 12 hivi amepata shida kwenye makuzi yake hasa Shuleni, wenzie walikuwa wakimdhihaki Kwa muonekano wake. SASA hivi anaishi Vizuri anatumia makeup kuwapa moyo wenye matatizo kama yake ili wasikate tamaa ya kuishi.Mungu awape busara kujua uzuri WA kweli.
 
Sasa huyo Dada wa mwanzo kabisa hiyo ni Make up au Puti?
 
Huyo WA mwisho aliungua akiwa mtoto kama miaka 12 hivi amepata shida kwenye makuzi yake hasa Shuleni, wenzie walikuwa wakimdhihaki Kwa muonekano wake. SASA hivi anaishi Vizuri anatumia makeup kuwapa moyo wenye matatizo kama yake ili wasikate tamaa ya kuishi.Mungu awape busara kujua uzuri WA kweli.
Afu ata asipopaka make up nilimuona yupo mzuri tu. Na mchumba anae
 
Siku uko nae kitaa mnatembea mara mvua inanyesha na kuondoka na make up,unaweza kudhani kua umebadilishiwa njiani.
 
Back
Top Bottom