Duh kmbe kwel. . . . . . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duh kmbe kwel. . . . . .

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MagicM, Sep 21, 2012.

 1. M

  MagicM Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh mwenzen nlikuwa siamin kama mtu mwenye gharama duniani ni mwanamke na ndo hutumia pesa nying zaid kuliko mwanaume NIMEAMIN SASA. . . . . . Kama na we umethibtisha niambie kama unabisha ntakthibitishia. . . . .
   
 2. salito

  salito JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Umethibitishaje??
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Mi mbishi ujue mkuu,na kunishawishi hapo tutakesha,na kwa kuanza ninakuambia ukweli kuwa mwanaume ndio mtumiaji na mfujaji mkuu wa pesa kumzidi mwanamke,njoo na uthibitisho wako nami nije na wangu na nimeshakuambia kabisa kama mi ni mbishi na mpaka unishawishi uwe tayari kukesha....
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mie wala sinyanyui mdomo kubisha! Huo mziki twaujua sie wenye watoto bwanaa!
  Subiri seasonal za maskukuu zifike, uone nguo za vibinti mziki wake! Na hapo ndiyo grassroot ya complication za wanawake zianzipo.
   
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Mjomba bado ninabisha hao unaowazungumzia ni watoto na anayetoa pesa hizo za matumizi ni nani kama sio baba ..sasa hapo ninarudi kwa mtoa mada anawezaje kunishawishi kuwa mwanamke matumizi yake ni makubwa kuliko ya mwanaume wakati mwanaume ndio mlezi mkuu wa familia.Na msisahau nimewaambia hapa mpaka mnishawishi tutakesha mwanamke hawezi kumzidi mwanaume hata siku moja katika utumiaji..
   
 6. M

  MagicM Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  dah ngoja kwanza muwe weng
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,463
  Trophy Points: 280
  Naomba niwe msomaji hapa...
   
 8. M

  MagicM Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ishu co jinsi ya kutumia ila ni kuwa na gharama
   
 9. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu hawajui kama una Phd ya ubishini.
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Hebu soma hapo nilipo hi light kwa rangi nyekundu...Na bado nitaendelea kubisha hata kama ni gharama mwanaume bado ana gharama,tutakesha leo...
   
 11. M

  MagicM Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nmesema ni binadam mweny gharama
   
 12. M

  MagicM Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hujakosea ila h2mia pesa nyng kujigharamia na c vingnevyo. . . . .
   
 13. M

  MagicM Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ubishi wake htamsaidia we ngoja wakati ufke ntakapomkata ubish wake
   
 14. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Za masiku kaka ulipotea ghafla karibu tena jukwaani,hawa vijana wana kazi kubwa sana ya kunishawishi katika hili.Wanapozungumzia gharama wanamaanisha nini kama sio kutumia pesa,na hainiingii akilini kama mwanamke anatumia kuliko mwanamke hata kama amevaa gauni la milioni moja laini aliyegharimia ni nani kama sio mimi..??
   
 15. M

  MagicM Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kugharamikia ww co ishu ishu ni kuwa na gharama alaf we ni uwamuz kumgharamikia au ktomgharamikia ila ukwel utabki palepale kuwa mwanamke ana gharama
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kaa vizuri nishushe! Awali nishkuru kwa kufahamu in advance kwamba mlezi mkuu wa familia ni mwanaume.
  Expensis za mwanamke --
  Fast unamuo you paid Brideprice.
  Mnaanza life hata kama mke ana kazi , kanuni zinasema umlishe, umvishe, umtibitibishe na mahitaji yake yote kwa ujumla yako kwako.
  Mwanamke ni tofauti na mwanamme kimatumizi , kwa kukupa mif. Hii michache.
  Mwanamke anahitaji kila fasion ya nguo aipate , na kila fasion humechishwa na viatu vyake na mkoba wake.
  Kwa hilo la fasion wanaume hawanalo kiviile.
  Mwanamke wa kisasa almost Tash elfu 20-25 hutumika kuitupa kichwani , (salon)
  kuna Makeups kwa mapana yake!
  Kuna wanawake huweka vocha hata buku 5 kila siku kwa kuongea na mashost tu! Wengine hata husutana kwenye simu!
  Wakwe wakipata matatizo kama kuumwa n.k muokoa jahazi unadhani ni nani ?
  Piga picha kama ndy uwe umemkabidhi mradi hiyo mihela yote itatoka wapi?
   
 17. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Mchanganuo mzuri sana mkuu,lakini hayo yote bado hajanifikia kwa pair moja tu ya kiatu ninayonunua kila mwezi kwa Euro zisizopungua 900,na hapo bado sijaweka gharama zangu za usafiri ndani na nje ya sehemu ninayoishi,ukiondoa hayo bado sijaingia Pub kupoteza mawazo na mengine mengi..huyo mwanamke na kalikiti yake atafikia wapi gharama za mwanaume bana,hapa nimewaambieni kabisa tutakesha...........
   
 18. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Mbona huweki sasa hivyo vithibitisho unataka nikubaliane tu nawe kuwa ana gharama,ina maana mwanaume hajigharimii..?? N a ukiangalia gharama za mwanaume ni kubwa sana kama ataamua kujigharamia tatizo ni kuwa wanaume wengi huwa hawajijali ili kuridhisha wapenzi wao lakini kama unajigharamia utakubali tu kuwa mwanaume ana gharama..
   
 19. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #19
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mtakatifu yaonesha una asili ya Kigoma! Kwani watu wanaotokea Kg hua sina ubavu wa kubishana nao!
  Nevertheless in accordance with your few expensis you have been provide for, am sure Bishanga has you're neighbour think so! Probably!
   
 20. M

  MagicM Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dah kweli mko makin naomba kusema kuwa mwanamke ana gharama kama ifuatavyo tukianza kwa kuangalia mwili wake 2
  Kichwa
  nywele zaitaji kwenda salon
  nyusi zahtaj kutindwa na kupakwa wanja, kope mascolour, mdomo lipstik, sura poda na makeup, masikio heleni ziczopngua pair 2, puani kipini shingoni cheni kifuani cdiria, kitovu hele, kiunoni shanga, makalio chupi tena specil, k pad, mkononi bangli na saa kidolen pete, mguuni kikuku pete na kiatu. . . . Umenpata bro hapo cjaweka nguo hand bag hapo hamtoa out ucombe. . . . Vp hapo umekbali
   
Loading...