Duh! huyu dogo anavyosakamwa!

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
Huyu dogo Diamond anavyosakamwa na magazeti pendwa!(magazeti ya udaku), ataogopa hata kusalimiana na msichana barabarani.

4.jpg

diamondaunt.jpg
 
who is diamond by the way? and who is that girl?
E bwana hata mie nilishawahi juiliza same question. Ila nakushauri u-google. Ni mwanamuziki wa bongo flavor, sina hakika kama ni mtanzania. Ila nyimbo zake zinapendwa sana na vijana kama facebook!
 
Diamond ni wanamziki wa bongo fleva ambaye anawika sana sasa hivi. Sidhani kama kweli kama publicity anayopata kwenye vyombo vya habari ni sawa na popularity yake. To me ni kama mwanamziki mwingine yyte ishu ni kwamba wanahabari wetu ni wavivu kuafuta habari so huwa wanakaa tu kuangalia nani anafanya nini ili wamuandikie. haya ni matumiz mabaya ya rasilimali zetu hasa karatasi na nishati.

hawana lolote wanalolifanya la maana katika taifa hili.
 
ni mwanamziki wa kawaida sana ila anapandishwa chati na wandishi wa habari wasio makini kusaka habari zenye manufaa kwa taifa
 
Tatizo liko wapi? mwandishi wa hilo gaazeti huwa huendi guest au kwa vile dimond hamiliki gaazeti toa kwanza kibanzi kisha........
 
Ndio matatizo ya .com mwanamziki hata ala hatumii wala kuishika anasifiwa je km kaenda mwenyewe Globa kwa Shigongo kuuza gazeti mnamuonea huruma
Du haya!!
 
Diamond ni Mwanamuziki anaekamua sasa hivi si Tanzania bali Afrika mashariki nzima. Ni kijana kada wa CCM.
 
Diamond ni Mwanamuziki anaekamua sasa hivi si Tanzania bali Afrika mashariki nzima. Ni kijana kada wa CCM.




Kimuziki ukweli dogo anajitahidi,binafsi nilikuwa simjui nikashangazwa na mtu kutoka Sierra Leone akiniulizia habari zake kisha kunionesha nyimbo zake toka Youtube ndipo nilipoanza kuzisikiliza na kusema kweli nilimkubali.Penye ukweli jamani tuuseme,dogo anajitahidi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom