duh!hatimae nami ndani ya nyumba.

duh!hatimae nami ndani ya nyumba.

Is this awakening inspiration au guys on a mission against JF? The wave of new members has been rising of late!
 
Umechoka kusoma unataka kuandika, I get, karibu kiongozi
 
nilishapata taarifa za ujio wako. usikhofu ila tahadhari na wadogo zako hawa
 
Nimekuwa nasoma post humu ndani.JF ipo juu.Nami mnifungulie mlango.

.........dickson unakaribishwa sana,...........tena kwa mikono miwili,........ila hutakiwi kuwa na (tamka jina lako la pili mara mbili fululizo),........karibu sana,
 
.........dickson unakaribishwa sana,...........tena kwa mikono miwili,........ila hutakiwi kuwa na (tamka jina lako la pili mara mbili fululizo),........karibu sana,
<br />
<br />poa nimekusoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom