Duh..face to face na vibaka!

ooo poleni sana Mentor and your good neibor!
Ili asikutangazie ulegevu mnunulie tu japo kasimu kamoja akuone we ni dume la mbegu!!! (jeez sinkin louder....)
 
Last edited by a moderator:
ndo maana nawaza kuhama bongo,
huku maisha ni heka heka kila pahala,
bora nikaishi mkoa nitulize akili yangu.

Kila mahali na changamoto zake, kuna mikoa utaenda hakuna vibaka ndio, ila unashangaa mara leo umeamka umenyolewa nywele upande, mara ukipika nyama inachacha in 30 mnts, mara ulila chumbani unaamka uko jikoni yaani ni kumwachia MUNGU tu!
 
Mamndenyi, Preta u kan't say it any louder...i get your point!

Nachosema nashukuru she is NOT even in my hit list n i thank God sio my girlfriend...
 
Kila mahali na changamoto zake, kuna mikoa utaenda hakuna vibaka ndio, ila unashangaa mara leo umeamka umenyolewa nywele upande, mara ukipika nyama inachacha in 30 mnts, mara ulila chumbani unaamka uko jikoni yaani ni kumwachia MUNGU tu!

uuuh.....nitakufa na presha....bora kibaka aisee.......
 
Pole kaka,duh!....

Kigamboni Noma,nami nilikuwa nimezoea kurudi gheto usiku masela kila siku wananiuliza ww unapita njia gani mbona

hupigwi tukio?...

Dah zikafika siku zangu halafu bahati mbaya niko na my love mbona ilikuwa balaa,walikuja watatu hivi mmoja akanipiga

roba kali sana kwa nyuma mwingine akaenda kwa mpenzi wangu akamwambia tu kistaarabu toa simu na vyote

ulivyonavyo akampa,wale wawili mmoja akawa sasa anataka kunisachi ikawa varangati ya hatari mtu mzima sitaki

kusachiwa na hapo nimepigwa bonge wa roba sasa akaja yule wa tatu ndy alikuwa na Kisu akasema tulia ww tutakuua

mtume ww nikaona hapa leo zangu zimefika,nikawa bado ninajibishana nao bahati nzuri kuna watu wakawa wameona lile

varangati wakaanza kuja huku wakipige yowe jamaaa wakakimbia!...

Dah!....Nikamshukuru Mungu kwa kweli ni tukio linamambo mengi lakini yanatokea ndani ya dakika chache sana hata

sikuamini kwamba nilikuwa mm niliona ni kudra za Muumba tu ndy ziliniokoa!..

My Love wakamchukulia pochi yake na vitu vyake vyote mi hawakufanikiwa kunichukulia kitu lakini waliniumiza sana

shingo mbavu na bega!....
 
Dakika tano tu zilizopita tukio hili limetokea hapa kigamboni:
Jioni ya leo tumepata wageni wengi mpaka ilikuwa raha sana. We enjoyed the jokes and th company kwa kweli.
Muda mfupi uliopita wakaanza kuondoka basi tukawasindikiza. Mmoja wa wageni hao ni mdada jirani yetu apa.
Basi mi ndo nikawa wa kumsindikiza. Nkamwambia mshkaji duh mi hata sibebi simu wala hela..huyo tukatoka.
Kufika nusu njia si washkaji watatu wakatokea na wana visu.
Dah mtu mzima nimekaa chini leo mm wakanisachi wamenkuta na funguo tu. Dada wa watu wamemchukulia simu zake.
Imeniuma kweli i couldnt do anything.
Imeniogopesha zaidi kwani ndo mara ya kwanza kunitokea tangu niishi huku kigamboni.
Dah..ni hayo tu wakubwa namshukuru Mungu tuko wazima hawajatudhuru na honestly aka ka android kangu sijui ninhefanyaje...
Thank you Lord..ila sidhani kama next time watapata wakati mrahisi hivi.

niunganishe na huyo dada nimnunulie hivyo vitu
 
Sikukuu hii wakale wapi? Hauna namba zao hao vibaka niwape hela waniachie simu cz wanavyouzaga bei rahisi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ooo poleni sana Mentor and your good neibor!
Ili asikutangazie ulegevu mnunulie tu japo kasimu kamoja akuone we ni dume la mbegu!!! (jeez sinkin louder....)

duuu hili nalo neno sosi JMK
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom