@AshaDii
this is more serious than i thought, hizo terms and condition hata mnyama hazikubali lol.
Old version hapa sipawezi lol
hahaha.... Mzee DC can you imagine doing it? Anaku approach mwanamke na kukuambia anaomba muwe kwenye mahusiano ya ngono tu! lol.... Utakataa? Utaona ni mambo ya dot com?
ha ha ha, wewe kweli old version.
Si unaona shuhuda kwamba ipo.
Hata mie bado old version, sidhani kama inawezekana.
hahaha.... Mzee DC can you imagine doing it? Anaku approach mwanamke na kukuambia anaomba muwe kwenye mahusiano ya ngono tu! lol.... Utakataa? Utaona ni mambo ya dot com?
utakubali mara ya kwanza, lakini mkikutana mara 3, lazima kila kitu kibadilike.
Anyway, labda sababu ni kipindi cha mpito.
Lakini pamoja na hayo, ukiachia watu wanaofanya biashara, waweza enjoi na mtu haumfeel chochote?
Is it possible?
duh aisee mie siwezi na wivu sio mchezo no stringe attached acha ibakie kwenye vitabu lakini kwa kuona siwezi
Bahati nzuri jibu lake liko wazi...Bibi DC hawezi kunipa ruhusa ya kufanya kitu kama hicho with or without strings attached!!
Anyway....Hata nikiwasimulia wazee wenzagu hawatanielewa...
Labda kama tumekutana kwenye nchi zenye mabarafu ya ajabu ajabu na tunahitaji kupeana joto once and only once....Halafu baada ya hapo hatutaonana tena!!....Too theoretical!!
Babu DC!!
utakubali mara ya kwanza, lakini mkikutana mara 3, lazima kila kitu kibadilike.
Anyway, labda sababu ni kipindi cha mpito.
Lakini pamoja na hayo, ukiachia watu wanaofanya biashara, waweza enjoi na mtu haumfeel chochote?
Is it possible?
asante wewe umekuwa muwazi ili unipe Live from the source.
Vipi ungemkuta na mtu mwingine, usingejali?
Hakuwa anakutoa in way labda dinner, outings, gifts and the like?
Au unahisi yeye angekukuta na mtu asingejali?
Na unawezaje kusex na mtu ukafurahia bila kuwa na feelings naye za aina yeyote?
Sorry, labda nimeuliza too much, potezea usiyoweza jibu.
Acha kuruka ruka DC.... Mimi nimekuuliza kama yupo dada akaomba iwe hivo. Take note hapa mama DC hausiki! Hio no strings attached inakua na huyo bibie mpya! lol
Hahahahahahhahahahahha..........................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Sikujua kama wewe ni mchokozi kiasi hicho...
Hivi bado sijakujibu??
Babu DC!!!
asante wewe umekuwa muwazi ili unipe Live from the source.
Vipi ungemkuta na mtu mwingine, usingejali?
Hakuwa anakutoa in way labda dinner, outings, gifts and the like?
Au unahisi yeye angekukuta na mtu asingejali?
Na unawezaje kusex na mtu ukafurahia bila kuwa na feelings naye za aina yeyote?
Sorry, labda nimeuliza too much, potezea usiyoweza jibu.
Chauro mzima wewe?
ntaprint, niisome kesho labda nikiandika na summary nitaelewa.
Hata kama mnapitisha muda wa chuo labda miaka miwili, muwe na no strings attached, ukimuona analegezwa na mtu mwingine, eti usijali kabisa?
babu DC, you have been cornered, jibu tu
wengine hatutasoma hiyo comment.
Bwana hiyo ni ngumu sana,
Kama mtu anaweza kuua mwenzake kwa kitu alichookota barabarani, iweje kwa BF au GF ambaye wanasaula nguo na kubaki watupu mara kwa mara,..na kisha kubanjua amri ya sita?
Labda nianze kujifunza leo....Ila ukweli ni kwamba siwezi!!
Babu DC!!
umeanza lini ujanja ujanja wa akina Rejao?
Siku zote unajibu in details.