figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,185
- 64,573
na mimi je?
na mimi je?
yaani mi nikajua best yangu ameshakula ban....hv unaendeleaje lakini
Umefika wapi wewe?
Labda hujakamatika, ama huandiki takataka! Usiombe udakwe, utajuta!na mimi je mbona sijawahi kuwa banned
Uzuri huwa atembelei mitaa ya siasa...Huwezi ukawa mlevi kama huendi baa..
mmmm!mkuu ndio tunaondoka same
mmmm!mkuu ndio tunaondoka same
Kwani unakuja na treni! Nyama inapoa banaa!
Arusha one....nimekuamisije hapo!
Kwani unakuja na treni! Nyama inapoa banaa!
Arusha one....nimekuamisije hapo!