Duh!ARUSHAONE Banned!!!

Duh!ARUSHAONE Banned!!!

vp kizibusi kinafanya kazi nilikuona kule unalalamika
hivi ndivyo kinaitwa? hahahaaa...mwenzio thijui kitu!!!. nilikasirika sana lakini baada ya kukuona hapa jf nafsi yangu ikafurahi na moyo wangu ukatabasamu. karibu sana. mia
 
hivi ndivyo kinaitwa? Hahahaaa...mwenzio thijui kitu!!!. Nilikasirika sana lakini baada ya kukuona hapa jf nafsi yangu ikafurahi na moyo wangu ukatabasamu. Karibu sana. Mia

lol kwako,ndio basata washadadava hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom