Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
ah ah! mie sitaki cheo cho chote wala pesa maana mie ni mjamaa pure.. niahidi kitu kingine tu
shemeji wataka kuzima taa
eeee!
ah ah! mie sitaki cheo cho chote wala pesa maana mie ni mjamaa pure.. niahidi kitu kingine tu
shemeji wataka kuzima taa
eeee!
mh!nakusubiri kwa hamu
na hasira pia!
ah ah ah! kuzima taa kiaje kwani?
Calm down lov
we jifyetue akili
unajifanya hujui ee!
Umeamka salama? Yap upo njema
nipo njema ka chuma cha pua
shem langu!
Karibu tena jamani, we miss you so much.
Una kesi ya kujibu we jishaue tu hapa
Nitupie taulo basi kama ni mashitka tehe tehe. Mzima lakini?
Taulo?? Mweeeehhh umekuwa mswahili toka lini???
YANI KUSAFIRI TU WIKI MOJA NDIO IMEKUWA BALAA HIVI????WAPI manoah