Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,162
- 12,925
🤣🤣Wakague miguu yao ilivyo chafuka sasa. 😅😅
Watu wamepoaMASAI KASHIBA UJI WA PILIPILI , HAPO MKIZINGUA NI STIKI KUANZIA SHEHE PAKA MPIGA DUFU.
Dar tumechanganyika..ni common sanaUnaishi mji wenye waislam wengi? Maana naona unalijua sana dufu
Dogo huna hata akili za kutofautisha Ai na real
Ndio wale kutoka ngorongoro?Wakati tunapinga msiwapeleke Masai kule Tanga(Msomera) mlituona tunapinga maendeleo.
Dogo huna hata akili za kutofautisha Ai na real
Kubwa huna hata akili ya kujua kuandika AI unaandika Ai 🤣Dogo huna hata akili za kutofautisha Ai na real
Imekuuma eehKubwa huna hata akili ya kujua kuandika AI unaandika Ai 🤣
Hapana hata, why niumie, ila hatuna Ai kuna AI Means Artificial IntelligenceImekuuma eeh
Kajifunze tena
Haya mwamba umeshinda.Hapana hata, why niumie, ila hatuna Ai kuna AI Means Artificial Intelligence
Mshaniharibia ndugu zangu.Ndio wale kutoka ngorongoro?
Siku hizi mnacheza Hadi sijui malume na amapianoMshaniharibia ndugu zangu.