Semistocles
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,932
- 1,126
KWANINI DUDU BAYA ASIPIMWE KWANZA MARRINDA ILI ATUONESHE MFANO?Wapi nimekwambia kua waliotajwa na dudu nimeprove kua ni mashoga? ndio maana hata aliyewataja ametaka wapimwe ili kuthibitisha,akili zako umezifungia ndani ya box?
Wewe unayetetea mapunga ndio unatia mashaka,nadhani hiyo ndio kazi yako ndio maana imekukaa akilini,ungepita kimya tu kuliko kujidhihirisha jinsi ulivyo mweupe upstairs.Usijali mrembo, vipi hapo nyuma utanipa? Nataka kukuAmber Rutty
Mkuu naona umefunga mjadala,big up.Mtoa mada linaonekana huyu Jamaa anakuumiza kichwa sana naanza kukutilia mashaka na wewe konk konk konk master oil chafu. Naanza kuhisi na we ni gasho,
Wakapime kama kakosea dudubaya ainde jera kasema, daa mwanaume utatetea mashoga Wa nini bwana kama na wewe si mwemzao??????
Jamii forum ni mtandao wa kijamii wenye muktadha wa kuweka hoja zinazojadilika kwa kuzingatia masharti vigezo na taratibu zakeMessage sent and delivered
Sawa mkuu@the book sio lazima uisome sasa hivi ipo tu haifutiki... Isome kwa utulivu utakapopata muda... Au la unaweza pia kuipotezea kwakuwa sio sheria kuwa lazima uisome
Bibie mbona hivyo, au we ni Punga!!!Wewe unayetetea mapunga ndio unatia mashaka,nadhani hiyo ndio kazi yako ndio maana imekukaa akilini,ungepita kimya tu kuliko kujidhihirisha jinsi ulivyo mweupe upstairs.
A can see a modicum of truth in your argument mkuu.Sema, hapa inabidi pia ujiulize, huyo mtu yupo sawa kiakili? Maana unamzungumza kama vile umejiridhisha kuwa yupo 100% sawa.Ni vigumu kuthibitisha kama yupo sawa au la, ila ukimtazama anaonekana ni kajichokea , anatafuta njia rahisi-ngumu ya kutokea.Kwenye ulimwengu wa jinsia kuna vinasaba huwatambulisha watu jinsia zao. Vinasaba hivyo ni kama
> Sauti
> Mavazi
> Umbo
> Tabia
> Urembo
Mwanamke mzuri anayejiamini hana makeke wala vipodozi vingi lakini akipita mahali na wengine kumi ataangaliwa ama kupewa alama za juu yeye.
Mwanamke asiyejiamini ni shughuli pevu. Kwanza vipodozi kama vyote, mikogo na maringo ndio usiseme, mjuaji yeye na mkamilifu yeye. Huyu akiwa mahali atalazimisha atambulike uwepo wake.
Kujadili watu na maisha yao pamoja na bifu za kijinga sio sifa ya mwanaume. Haya mambo tumezoea kuyaona kwa ndugu zetu wa jinsia pinzani. Unapoona mwanaume kila wakati ni mgomvimgomvi, mpenda sifa, mjuaji, mnyooshea wengine vidole, mchambaji basi tambua fika huyo kuna udhaifu anauficha na anaufidia kwa kufanya mambo kama hayo. Ana dalili ya vinasaba vya ushoga.
Godfrey ana tabia zote hizo; kupenda kulazimisha umaarufu kisanaa lakini pia kwa mambo yasiyomhusu. Ana mwili mkubwa lakini asilimia ya medulla imepishina njia na asilimia ya mwili.
Ameibuka kwa staili mpya ya kutaja wanaotuhumiwa kujihusisha na ushoga. Sasa hivi yuko mitandaoni. What a comeback!
Anatajataja tu watu na jamii bila kutafakari kwa makini inarindima na midundo yake bila kufahamu kuwa anajidhalilisha na anatumika. Akija kukwaa kisiki cha mpingo jamii hiyohiyo iliyokuwa ikimshangilia ndio hiyohiyo itakuwa ya kwanza kumnanga.
Asijisahau kuwa yeye ni mwanaume na akumbuke kama mwanaume anapaswa kufanya nini na sio kupayukapayuka tu.
Hizi ni dalili za kuwa ngangaripoa
Kama wewe so mmojawapo usingejua tote haya ma wala usingejihangaisha kuchangia huu uziKupayukapayuka imekuwa sifa ya wanaume wengi wa mjini.....pia kufuatilia maisha ya watu imekua ni moja ya mambo yanakua kwa kasi miongoni mwa vijana wa kiume....aibu sana .....ndiobmaana wale jamaa wa clouds wakaanzisha shilawadu na wafuatiliaji wengi ni wanaume including wew mleta uzi
Na bado unaendelea kufuatilia vitu vya kipuuzi for three good years? Na bado umevutiwa kuchangia hii mada? Nijuavyo mimi mtu anayefuatilia vitu vya kipuuzi naye ni mpuuzi tu....Mtoa Mada Nna Miaka Si Chini Ya 3 Huwa Nafuatilia Vitu Ambavyo Unapost, Ila Nimejifunza Vitu Kadhaa Kwako,
(i)Unatumia Nguvu Kubwa Kupangilia Maneno Ila Huna Maana Halisi "Content " Ni Butu
(ii)Nyuzi Zako Unaziandika Kuaminisha Umma Kuwa Ww Ni Mtaalamu Wa Kutambua Nafsi na Hta Haiba za Watu Kumbe UONGO! uliandikaga Upuuzi Kumsifia Mange Kimambi Mwezi April Kuhusu Maandamano Ila Kitu Ambacho Hukijui Kuhusu Mange Na Ambao Sisi Tunakijua Tukabaki Tunakuona Mpuuzi na Leo Unaandika Vitu Bure Kabisa