Dudu yake imekuwa ndogo mpaka amekimbia

Dudu yake imekuwa ndogo mpaka amekimbia

CHAI TAMU KWELI HII hapa bado diamond karanga tu!
 
Hakuna ukweli japo ke nyingi tukiwa vizuri kiuchumi na nyodo huongezeka

Wapo wachache ambao anakuwa na adabu zote mume anapetiwa km mtoto mshahara ukitoka unawekwa mezani wanaupangia bajeti
Asante sana, kamatia
 
Ni kweli lkn hizi ni indicator muhimu kwao na ni wachache wanaoa mwanamke anaemzidi kipato labda kupiga na kusepa tu
Kwanini inakua hivyo anapiga na kusepa tatizo ni me au ke?
 
Huo ni udhaifu wa MTU binafsi, hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mapenzi yenu na kipato chenu.

Unaweza kuwa na mpenzi wako, masuala ya nani ana kipato kikubwa mnajua nyinyi wawili. Kwa hiyo huo ni woga tu, kuna vitu nilikuwa nataka kufafanua hapa, Ila nitavitafutia Uzi wake tufundishane
 
Back
Top Bottom