kama Lisu, azory, Ben etc au unasemaje?Serikali inamtandao mpana asipokuwa makini watamshughulikia vilivyo coz wana mamlaka.
Mda ndio hakimu wa kweli.Mwakyembe alimshindwa kwa hyo ana uhakika hakuna wa kumuweza serikalini
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi watamfanya nini sasa?
Unahisi watamfanya nini sasa?
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu serikali ya Magufuli sio sawa na mods wa JF
serikali ya Magufuli sio sawa na mods wa JF
Wabheja sana NahmalaDudubaya ni msukuma hakuna wa kumgusa! Sasa hivi ni zamu yetu wasukuma!.
Sent using Jamii Forums mobile app