Dudu Baya Serikali hawashindani nayo

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Imani yangu wapo wadau hapo wako karibu na Dudu Baya huko IG anatukana mno.
Amepewa wito na basata ,anasema hatoenda kamwe,huku akitoa shit nyingi juu ya serikali na viongozi wa basata.

Cha kushangaza anatoa sifa kwa magufuli huku anatoa shit kwa wateule wake.
Sasa naomba waliokuwa karibu nae wamshauri vizuri sana.
Serikali inamtandao mpana asipokuwa makini watamshughulikia vilivyo coz wana mamlaka.
Ushauri wangu aache kupambana na viongozi wa serikali.
Hasa hii ya awamu ya5

Huyo mwakyembe,na mwenzake j shonza ndio wameshika mpini wa sanaa,wakiamua kuitumia BASATA watampiga pin ukizingatia maisha yake anategemea sanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo anaitwa Konki master , wanajua wakimuattack anawaanika , wengine wala jicho uwanja wa fisi na picha anazo
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom