DUCE kwawaka

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Kuna mtafaruku hapa duce,wanafunzi wa mwaka wa tatu wamejikuta wote wanadaiwa ada licha ya kuwa wanapaswa kulipiwa na bodi ya mikopo.chuo kinatupia lawama bodi na bodi inatupia lawama chuo.hali siyo shwari.
 
Kama vp,wanafunzi wapachimbe tu...wakisubiri wataambiwa:subirini Bajeti ijayo. CCM is now our real enemy..!
 
mwaka wa pili nani aliwalipia? kwa nini leo ndo watupiane mpira? waache upuuzi huo watu waendelee na shughuli bana.
 
bodi ya mikopo ni serikali, chuo nacho cha umma sasa si watalipana wao kwa wao..wawaache vijana wamalize chuo waje tupo mtaani tunawasubiri kwa mapambano..
 
Kama vp,wanafunzi wapachimbe tu...wakisubiri wataambiwa:subirini Bajeti ijayo. CCM is now our real enemy..!

ushauri wako ni wakishetani kwani huwatakii kheri. kwavile suala ni baina ya bodi na chuo hilo ni jepesi sana kwa wanafunzi wala hawana sababu ya kuanza kujiingiza katika mawazo ya kipumbafu kama ya kwako.
 
Kwa nini wasijiingize wakati wamezuiwa kufanya mitihani? unataka wafanye nini?
wafyate mkia warudi nyumbani bila kufanya mtihani?
Kama swala ni la board na chuo kwa nini wameshindwa kufikia muafaka?
Jiangalie usije ukawa unamawazo ya kipumbavu zaidi ya mwenzako.
 
Kuna mtafaruku hapa duce,wanafunzi wa mwaka wa tatu wamejikuta wote wanadaiwa ada licha ya kuwa wanapaswa kulipiwa na bodi ya mikopo.chuo kinatupia lawama bodi na bodi inatupia lawama chuo.hali siyo shwari.

Hii issue ndo inaendelea hapa UDOM.

Watu huwa wanasaini ada kila mwaka leo wamebandika barua yakuwasitishia wanafunzi 1500 mkopo barua hiyo imeandikwa kutoka chuoni kwenda Heslb. Wapo mwaka wapili na watatu.

Juhudi zao hazijazaa matunda mpaka sasa management inapigiana mpira thread iko jukwaa la sheria inaelezea mkasa huo.
 
Ni uzembe wa chuo huo, wanakula hela na kudai hawajazipata. In reality walitakiwa kuwapataarifa wanafunzi kuhoji kuhusu malipo yao kabla ya hapo.
Pia ni mpango wakuchelewesha na kuiba pesa za field.
 
Kuna mtafaruku hapa duce,wanafunzi wa mwaka wa tatu wamejikuta wote wanadaiwa ada licha ya kuwa wanapaswa kulipiwa na bodi ya mikopo.chuo kinatupia lawama bodi na bodi inatupia lawama chuo.hali siyo shwari.

HAPO CHA MSINGI NI KUWA HESLB IS A PUBLIC INSTITUTION & DUCE IS A PUBLIC INSTITUTION na Public yenyewe ndio pamoja na hao wanafunzi cha msingi wasetoff then wanafunzi waendlee na shule.....
 
Kuna mtafaruku hapa duce,wanafunzi wa mwaka wa tatu wamejikuta wote wanadaiwa ada licha ya kuwa wanapaswa kulipiwa na bodi ya mikopo.chuo kinatupia lawama bodi na bodi inatupia lawama chuo.hali siyo shwari.

wapi KOVA???
 
Kuwa mwalimu Tanzania ni tabu sana,sasa matatizo yanaanzia chuoni!Poleni walimu wangu.
 
ushauri wako ni wakishetani kwani huwatakii kheri. kwavile suala ni baina ya bodi na chuo hilo ni jepesi sana kwa wanafunzi wala hawana sababu ya kuanza kujiingiza katika mawazo ya kipumbafu kama ya kwako.

magamba mkubwa weh
 
Back
Top Bottom