DUCE Family on JF - Special Thread

hahahaha,msiogope jamani,things are easy kama umejipanga.kwa wale first year wanaosoma linguistics,karibuni kwenye page yetu in facebook,DUCE LINGUISTICS POINT,you will gain alot of things concerned language.mnakaribishwa sana.
 
Mwaka huu First year DUCE wame disco 23

Be siriazi


We sijui unafikiri kwa kutumia ma*****

Wakati niko mtaani nilikua nasema naenda kuchukua Degree. Lakini sasa nimeamini Degree haichukuliwi bure.

Bali inatafutwa. Kila kitu kipo kawaida ila ni walimu ndo wanafanya kiwe cha kawaida au cha kutisha.

Karibu DUCE
 
Be siriazi



We sijui unafikiri kwa kutumia ma*****



Bali inatafutwa. Kila kitu kipo kawaida ila ni walimu ndo wanafanya kiwe cha kawaida au cha kutisha.

Karibu DUCE

Do you think I'm joking pal..!? I ain't making no joke.... nenda hata kwa Dean of students utaipata orodha hiyo..
 
Vijana mliofaulu vizuri karibuni sana DUCE family
 
Vipi mazingira ya mbagala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…