Dubai: Ushawahi kufika hapa?

Dubai: Ushawahi kufika hapa?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,626
1897699_599492603472443_1157402677_n.jpg
 
Dubai ni noma mazee, was there in 2008 acha kabisa, vituo vya basi (daladala) air conditioned.
 
Aione Magufuli na barabara zake za kiwango cha lami.
 
Bongo barabara ya Posta Kimara ndo Talk of the Town....ha ha haaa!
 
Na dunia nzima tukiwa hivi dunia itakua na raha gani? Ata kwetu raha jamani mkataa kwao mchawi
 
Back
Top Bottom