Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Zanzibar hii ipo sana tu
kweli zanzibar hii ya watu mchanganyiko na waliotoka bara
Zanzibar hii ipo sana tu
kweli zanzibar hii ya watu mchanganyiko na waliotoka bara
Yes miss
mmmh nitajaribu kuindondosha smartphone ikienda na maji utalipa fidia u know
Kwi kwi kwi
kumbe unanifunga kamba tu zenji ya leo sio ya zamani
sio ununue mbili tu ndani naweka na 10M zidisha mara mbili hapoNenda na kama hawajakurudishia nakununulia mbili zaidi
sio ununue mbili tu ndani naweka na 10M zidisha mara mbili hapo
wanajf shahidi nitaleta feedback
Ngoja tufike kwenye daslama. Aangushe mbele ya polisi kwanza wamuonyeshe kazi:spy:
huku hata ukiidondosha msikitini au kanisani sahau kuipata. hata ukiisahau kwenye ofisi ya mchungaji au shekhe au kwenye gari ya shekhe au mchungaji,
Hapa Bongo wataichukua kabla hajaidondosha!