Dubai ago nd now

Dubai ago nd now

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
999346_558330657542030_1086608616_n.jpg
dats called progress
 
Angalia tu usihamie huko mimi maana ni kuzuri mno, ila usiende majira ya joto unaweza kujuta. Utafurahia kuona jinsi nchi ilivyotumia rasilimali zake kuijenga nchi yao na kuweza kuwa na miundo mbinu ya hali ya juu na hivyo kuweza kuvutia investors na tourists toka nchi mbali mbali duniani.

Wow..nataka nikatembee nchi hio inshallah panapo majaaliwa!
 
Hakuna mambo ya Westgate Mafisadi waondolewe kwenye uchaguzi huru tu njia bora na ni sahihi kabisa. Nalog On......
Dah! njia hii ya KULA,itachukua miaka mingi sana kwa kweli kwa maana hawa jamaa wana fedhwa na mizizi yao bado mibichi inaendelea kuingia chini zaidi,in short hatuwawezi au una njia ambayo inaweza kutusaidia?
Nalog off
 
Njia ingine ni kumuomba Mungu Makanisani na Misikitini ndio njia kuu ya Wanyonge. Nalog On....
 
Hutakiwi uwe mnyonge katika maisha,halafu M/mungu ana kazi nyingi sana za kufanya hizi nyengine inabidi tumsaidie sisi wenyewe kwa kuchukua uamuzi ulio sahihi.

Mwenyeezi Mungu ametuambia tumuombe ili apate kutupa. Jambo lako lolote lile la kimaisha ukishindwa

kulitatuwa basi Muombe yeye Mwenyeezi Mungu atakupa haraka iwezekanavyo wala hachoki Mwenyeezi Mungu kuwapa

viumbe wake Wanaye Muomba. Huyo Mungu mwenye kazi nyingi ashindwe kukupa wewe aliyekuumba mja wake unayoyataka? Basi

atakuwa huyo sio Mungu bali ni mungu feki. Nalog On.
 
Ni kweli kaka ila inabidi tumrahisishie maana watu ni wengi wanaohitaji msaada kutoka kwake,swala dogo kama hili la mafisadi ni sisi raia kuamua tu kwamba tumechoka hatutaki,ndani ya siku moja tu inawezekana kuwa vile tunavyotaka,Mungu yuko pamoja na kundi.

Swala la Ufisadi,Rushwa,Uongozi mbovu,Madawa ya Kulevya, Umasikini,Maradhi,Ujambazi na Elimu duni

ndivyo hivyo vitu vinavyoifanya Tanzania kutoendelea kabisa na havitokwisha mpaka upatikane Uongozi bora na sio rahisi

kupatikana uongozi bora hapo Tanzania. Nalog On.......
.
 
dah maneno machungu sana haya doc. Bt ndo ukwel wenyewe huo
nalog out
 
Back
Top Bottom