Dubai ago nd now

Dubai ago nd now

Angalia tu usihamie huko mimi maana ni kuzuri mno, ila usiende majira ya joto unaweza kujuta. Utafurahia kuona jinsi nchi ilivyotumia rasilimali zake kuijenga nchi yao na kuweza kuwa na miundo mbinu ya hali ya juu na hivyo kuweza kuvutia investors na tourists toka nchi mbali mbali duniani.
Je umeshawahi kufika huko wewe BAK?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Swala la Ufisadi,Rushwa,Uongozi mbovu,Madawa ya Kulevya, Umasikini,Maradhi,Ujambazi na Elimu duni

ndivyo hivyo vitu vinavyoifanya Tanzania kutoendelea kabisa na havitokwisha mpaka upatikane Uongozi bora na sio rahisi

kupatikana uongozi bora hapo Tanzania. Nalog On.......
.

Hapo ndipo ule usemi usemao* STAHAMILI JAPO UNAUMIA* unapochukua nafasi.
Nalog off
 
Back
Top Bottom