Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
safari njema....
Njema safari and vice versa
happy birthday oooppps no, ni bon voyage!
Hahahaa haya bwana kongosho we mkaree...
kawasalimie kwa pera
ila waache kuwa wanatuchungulia
Inshallah, mwenyezi Mungu akutangulie.
Safari njema and stay safe!!
Safari njema. . .ufike salama salimini.
Mungu akutangulie, ila tu ukifika huko hofu yangu usijepandikizwa, ule ujasiri wa Babu zetu wa huko, (akina Mkwawa) wa kujitundika na kamba !
Unamkumbuka Mz. Abdallah Mwamindi ?