Emmanuel_Adam14
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 669
- 745
Ukisikia dua la kuku halimpati mwewe ndio hii sasa!!
Na dua la mwewe halimpati kuku
HahahahaAnashuka kama dreamliner
[emoji23][emoji23][emoji23]Mi nikafikiri hili dua!View attachment 949659
Hahahahah hii akili ya madereva boda boda na askari!!Hapo kuku akitaka amuweze huyo mwewe,akate kulia halafu apige u turn moja matata sana!!