Du Tanzania inazidi kupigwa bao la internet

geek

Member
Feb 12, 2009
83
4
haya stats ziko bayana kwenye hiyo attachment, Tanzania na kelele zetu tunapigwa bao na jirani zetu kasoro Burundi. hakuna growth kabisa, hatari sana.
 
Attachments

  • internet-users.jpg
    internet-users.jpg
    34.8 KB · Views: 113
Hili sio jambo la kulalamika kama vifaa vya ict kodi ni juu kuliko hizo nchi za wenzetu unategemea nini katika utumiaji wa mtandao ? Kama hakuna miundo mbinu ya kutosha na ya maana ambayo itawezesha kupeleka huduma hizi mpaka vijijini unategemea nini ? Na kama serikali haina mpango wa taifa unaoeleweka na kila mtu katika kuendeleza huduma hizi unategemea nini ? Hivi sio vitu technical rafiki yangu ni haki ya mtanzania yoyote kujua ni haki yako wewe uliye kyaka kagera kupata huduma safi na nafuu za mawasiliano
 
wewe ukiangalia wenzetu au nchi nyingine unalipia kwa mwezi na bei zao zipo fixed sasa kwa Tanzania unaweza ukanunua airtime ya Tshs 200,000/= ukatumia three day only wakati nchi nyingine zina utaratibu ambao unalipia kwa wiki, mwezi hata mwaka hata ufanye nini haishi mpata siku zako zifike. Ma provider tubadilike. Jamani mnatuubia sana.
 
Hili sio jambo la kulalamika kama vifaa vya ict kodi ni juu kuliko hizo nchi za wenzetu unategemea nini katika utumiaji wa mtandao ? Kama hakuna miundo mbinu ya kutosha na ya maana ambayo itawezesha kupeleka huduma hizi mpaka vijijini unategemea nini ? Na kama serikali haina mpango wa taifa unaoeleweka na kila mtu katika kuendeleza huduma hizi unategemea nini ? Hivi sio vitu technical rafiki yangu ni haki ya mtanzania yoyote kujua ni haki yako wewe uliye kyaka kagera kupata huduma safi na nafuu za mawasiliano

Shy nakuunga mkono 100%
 
Teh teh, Shy umenena vyema sana, ila tunasahu hata umeme wenyewe hatuna! internet itatoka wapi? tutapunguza kodi, sawa ni kitu kizuri, vifaa vingi vitakuja, tutatumia umeme gani? We have a very long way to go, maskini Tanzania!
 
Kwani kuna sera? kama ipo inatamka je? na nini malengo yake ya muda mrefu na mfupi?
 
Umejaribu kutafuta kama hiyo sera ipo au la kabla hujaandika ulichoandika ?

Shy, sikusema kuwa hakuna sera. Nimeuliza kufahamu kama ipo, na kama ipo inasema je na tunategemea kuwa wapi na kwa muda gani. Inawezekana kwa malengo tuliojiwekea tuko katika mwendo mzuri, au hatujapata mwendo kutokana na kuwa hili sio kipaombele chetu kama taifa.
 
mimi nilikushangaa kwanini unauliza swali kama hilo wakati kuna search engine ya kutafuta vitu kama hivyo upate jibu halafu uje kuchangia kwa mifano ambayo utaitoa kwenye link hizo hata za nchi zingine ? hivi ndivyo mijadala inavyotakiwa kuwa au sio
 
geek
Kasema hivi:
1. Du Tanzania inazidi kupigwa bao la internet

Nami naongezea
2. Kwani nini nimepelekea hiyo sharp increase 2005, 2007?
3. ....

Hapo kwenye tatu utaongezea wewe. You can say anything, mfano
"I'm going to venture into this business"

Swali:
Iwapo Tanzania ingekuwa ya kwanza hapo juu, hali yako ingekuwa tofauti na ilivyo sasa? Ingekuingizia mapesa mfukoni?
Najaribu kuleta maswali ili tuweze kujadili.
 
hivi sasa kuna mkonga wa mawasiliano unajengwa kuunganisha Tanzania na maeneo mengine ya dunia. Mimi ni sub contractor katika kazi hii inayofanywa na Wachina. Tunaenelea vizuri na kazi. Tupeni muda kidogo muone matokeo kuhusu malalamiko haya. Nchi hii inaenda pazuri tu. Tupeni muda
 
Back
Top Bottom